Simba SC msiwazuge Mashabiki wala kuona Aibu. Mpelekeni Bernard Morisson kwa Wazee wa Yanga SC awaombe Msamaha afunguliwe

Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi.

Na aliyemfanyia hivi ni Mzee wa Yanga SC Mpemba aishiye Mbagala Matitu.

Unashangaa mtu aliyeandika hivi aliponaje kuwemo katika ule moto wa sodoma na gomora? Au gharika la nuhu? Unaweza badili jina lakini akili inabaki ni ile ile ya gentamycine ya kitoto/upumbavu
 
Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi.

Na aliyemfanyia hivi ni Mzee wa Yanga SC Mpemba aishiye Mbagala Matitu.
Serkali haikufanya kosa kukemea imani hizi toka futa kauli yako kaka

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
613229EC-3D84-4A82-99AE-B5B40932F834.jpeg
 
Back
Top Bottom