HaswaaAhahaha Genta sio!!!
Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi.
Na aliyemfanyia hivi ni Mzee wa Yanga SC Mpemba aishiye Mbagala Matitu.
Twambie mkuu hivi morrison alikuumizaje ?🙇🙇Haka ka Morrison hata mimi ningelikuwa na dawa ningekaroga tu yaani aliniumiza vibaya mno
🤣🤣🤣Twambie mkuu hivi morrison alikuumizaje ?🙇🙇
Baada ya Kombe la Mapinduzi alibakia Zanzibar kwa Siku kama Nne chini ya Mtaalam / Mganga Mwanamke wa Simba SC akipikwa upya na Karudi.Mleta mada najua mda huu utakua umejifunika gubi gubi unalia.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Serkali haikufanya kosa kukemea imani hizi toka futa kauli yako kakaNajua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi.
Na aliyemfanyia hivi ni Mzee wa Yanga SC Mpemba aishiye Mbagala Matitu.
Anadai hakutumia kilainishiTwambie mkuu hivi morrison alikuumizaje ?[emoji144][emoji144]
🤣🤣🤣🤣🤣Anadai hakutumia kilainishi
Sasa si ndo waharibu timu zingine wabaki wao wakiwa bora!Uwezo wao ni kuharibu tu na siyo kutengeneza na hiyo ndiyo kazi ya ibilisi.