Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 487
- 1,287
Kwa Simba hii ya ilivyocheza leo naiona robo fainali kwa point 11 mbele ya asec ambayo itakuwa na point 10
Mark my words
Mark my words
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba utaifunga Wydadi na Galaxy Taifa na then utaifunga Asec Ivory Coast. Umelogwa wewe siyo bureKwa Simba hii ya ilivyocheza leo naiona robo fainali kwa point 11 mbele ya asec ambayo itakuwa na point 10
Mark my words
Kwa nini isiwe? Tukutane hapaKwamba utaifunga Wydadi na Galaxy Taifa na then utaifunga Asec Ivory Coast. Umelogwa wewe siyo bure
Tutakuja kufukua kaburi hamna tabuKwa Simba hii ya ilivyocheza leo naiona robo fainali kwa point 11 mbele ya asec ambayo itakuwa na point 10
Mark my words
Hivi hii kazi ya utabiri inalipa?Kwa Simba hii ya ilivyocheza leo naiona robo fainali kwa point 11 mbele ya asec ambayo itakuwa na point 10
Mark my words
Kwani sasa simba si anaongoza kundi lake kama ilivyo yanga?Kwa Simba hii ya ilivyocheza leo naiona robo fainali kwa point 11 mbele ya asec ambayo itakuwa na point 10
Mark my words
Wapuuzi pale simba ni wawili tu: try again na mangungo. Simba fanyeni jambo kwa hawa wapuuzi.Tumeshapoteza mechi muhimu kwa uzembe wa wachezaji.
Tangu msimu uliopita dirisha ndogo tunaletewa ujanja ujanja kwenye usajili mara Manzoki, wakamleta Baleke, Onana asiye na lolote,unamrudisha miqusion kanenepa hata hawaangilii mwili wanamrudisha tu, chama ndo huyo akikimbia kama baiskeli inashikwa breki na kuachiwa kidogo.
Mechi mbili za mwisho kwenye ligi hadi leo hatujashinda ni draw tu. Halafu mechi ijayo Ahmed Ally anaanza "wanasimbaa tujaze uwanja hatujazoea kucheza bila nye" .
Viongozi wa simba kwenye usajili ni wapuuzi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ndo wanaiccost timu,haiwezekani professional player anawekwa benchi na wa ndani, wachezaji waliowaleta kama kina Onana, Miquison wapo wengi ligi za ndani, Try Again na Magungu wanaiharibu timu,mwisho wa siku wataleta tena magarasa mapya kijisafisha wakifeli wanamtimua kocha kujisafishaWapuuzi pale simba ni wawili tu: try again na mangungo. Simba fanyeni jambo kwa hawa wapuuzi.
Wydad ndio kaamka mkuu anakuja kutoa draw kwa mkapa halafu anmpiga galaxy na asecKwa Simba hii ya ilivyocheza leo naiona robo fainali kwa point 11 mbele ya asec ambayo itakuwa na point 10
Mark my words
Lawama zimeshaanza.Hao ndo wanaiccost timu,haiwezekani professional player anawekwa benchi na wa ndani, wachezaji waliowaleta kama kina Onana, Miquison wapo wengi ligi za ndani, Try Again na Magungu wanaiharibu timu,mwisho wa siku wataleta tena magarasa mapya kijisafisha wakifeli wanamtimua kocha kujisafisha
Sent using Jamii Forums mobile app