Simba SC na Asec Mimosas ndio zitacheza robo fainali

Tumeshapoteza mechi muhimu kwa uzembe wa wachezaji.

Tangu msimu uliopita dirisha ndogo tunaletewa ujanja ujanja kwenye usajili mara Manzoki, wakamleta Baleke, Onana asiye na lolote,unamrudisha miqusion kanenepa hata hawaangilii mwili wanamrudisha tu, chama ndo huyo akikimbia kama baiskeli inashikwa breki na kuachiwa kidogo.

Mechi mbili za mwisho kwenye ligi hadi leo hatujashinda ni draw tu. Halafu mechi ijayo Ahmed Ally anaanza "wanasimbaa tujaze uwanja hatujazoea kucheza bila nye" .

Viongozi wa simba kwenye usajili ni wapuuzi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapuuzi pale simba ni wawili tu: try again na mangungo. Simba fanyeni jambo kwa hawa wapuuzi.
 
Timu yetu ya Simba siyo vyepesi kuvuka hii hatua ya makundi, trend yao ni mbovu sana, goli la leo lilikuwa linazuilika laiti kama wachezaji wangujipanga kuzuia, yule mfungaji asingeweza kucheza ule mpira kirahisi vile. Wayda wameforce Simba wafanye makosa ya makusudi dakika za mwisho na Simba wakayafanya, hata kwa mkoa Simba hana uwezo wa kumfunga Waydad, akila vibaya Simba atapigwa tena goli 1 au 2
 
Mpira wa Africa una timu zake.

Kama simba atafuzu kwenda robo. Ujue atafuzu pamoja na waydad

Yoyote atakaefuzu kundi la simba lazima ataambatana na waydad
 
Wapuuzi pale simba ni wawili tu: try again na mangungo. Simba fanyeni jambo kwa hawa wapuuzi.
Hao ndo wanaiccost timu,haiwezekani professional player anawekwa benchi na wa ndani, wachezaji waliowaleta kama kina Onana, Miquison wapo wengi ligi za ndani, Try Again na Magungu wanaiharibu timu,mwisho wa siku wataleta tena magarasa mapya kijisafisha wakifeli wanamtimua kocha kujisafisha

Lawama zimeshaanza.
 
Back
Top Bottom