SIMBA SC na Azam, kuna kitu Yanga anawafundisha lakini hamuelewi. Mpira hauna shortcut

Huwa ni hatari sana kama ni mtu mzima halafu unapriotize kutumia emotions.

Team za Kariakoo professionalism huwa ni 30-40% tu the rest ni michezo ya propaganda & manipulation.

Perhaps kama huelewi maana ya hilo neno na huijui michezo ya clubs hizo mbili.

Wenzako huwa hawaumizi kichwa tena kuhusu hao Kurwa na Dotto.

Hizo clubs huwa zinaendeshwa kutokana na interest za watu fulani ni basi tu kuna muda zinalindwa na matokeo ya uwanjani.
Naona bado mpo kwenye umbumbumbu mode mkija kushtuka mtakuwa tayati mshachelewa.
 
Yanga imechagua professional football over drama na traditional ways of doing things na kimsingi wapo serious .

Hakuna mambo ya ulaghai. Kalumanzila na mpira wa mdomoni.. everything ni kwenye pitch , tuoneshe kikosi cha bil 7, otherwise ni drama na traditional ways of doing things.

Very soon SSC anakwenda kuwa underdog kwa Yanga by 80%

There is no shortcut kwenye soka, mpirani mchezo wa wazi kabisa na hakuna njia ya mkato : lakini SSC wapo bado kwenye UDANGANYIFU na Utapeli….. kikosi cha bil 7 , nasema tena bado hamjawa serious na bado mmezoea shortcut…. Kazi mnayo

Yanga kanyaga twende.

Tumechelewa sana . Kombe linaéda kwa YANGA as usual , hakuna timu itakayouweza Yanga kwa miaka 5 mfululizo.
Simba anafundishwa nini ambacho hajawahi kufanya?
 
Falme nyingi kubwa ziliangamia kutokana na kiburi! Hata Man utd wanajiuliza walikosea wapi? Ila jibu ni kuwa walijawa na kiburi kujiona kuwa hawafungiki au kuwa ndio watawala wa soka pale England.

Kinachotokea ni kuwa wanahangaika kuutafuta ubingwa kwa miaka 11 sasa. Pia yanga muda wenu utafika
 
unadhani watakuelewa hapa, 😆

mjinga mpe utukufu
 
Tatizo pale Simba udalali wa wachezaji ni mwingi, watu wanakula 10% kwa kila mchezaji anayesajiliwa , tutegemee nini?
Bado wanaamini promo za media na utapeli. Kama umesajili tuoneshe kwenye pitch. Yanga ilifanya reforms na moja ya findings walizokuja nazo ni kuachana na siasa za mpira, na drama na ndio maana hata SA game zao zilikuwa LIVE ndio football . Yaan yanga wanafanya hivo ili kuona weakness , na kuzifanyia kazi . Drama kwenye soka hailipi

Njoo kwa mwafulqn, wao ni drama na wakija kwenye pitch ni kituko. Soka Lao ni la mdomoni kikosi kipana na mainly wa 4 bila kombe

Drama waachieni bongo movie sio soccer
 
Basi mnajionaaa kushinda hivyo vi mechi viwili...propaganda imekua kubwa sana...ngoja tuone...
 
Huwa ni hatari sana kama ni mtu mzima halafu unapriotize kutumia emotions.

Team za Kariakoo professionalism huwa ni 30-40% tu the rest ni michezo ya propaganda & manipulation.

Perhaps kama huelewi maana ya hilo neno na huijui michezo ya clubs hizo mbili.

Wenzako huwa hawaumizi kichwa tena kuhusu hao Kurwa na Dotto.

Hizo clubs huwa zinaendeshwa kutokana na interest za watu fulani ni basi tu kuna muda zinalindwa na matokeo ya uwanjani.
Mashabiki Yanga wengi akili hawana yaan washasau kuwa kabla ya Simba kuchukuwa Mara 4 mfulululizo wao wakichukuwa Mara 3 tena ikaja Simba toka 2018 hadi 2022 miaka 4 kwa mtu aliyekuwa na akili hupaswi kuamini maana hata iweje Yanga haitokuwa na uwezo kuchukuwa zaidi ya Mara 5 ikizidi sana Mara 4 hizi timu ni za serikali ya CCM kuwapumbaza Watanzania that's why wote wamechukuwa makombe zaidi ya 20 kila mmoja na serikali haipo tayari kuona timu moja inakufa itafanya lolote liwezalo ili kubalance ni suala la muda tu Kwa Yanga kuanguka ngoma huo ni mpango wa serikali kudhibiti watanzania ngoma ikivuma sana mwisho ''''''''''''
 
Back
Top Bottom