Haaππππ ππLabda mbali nyumbani kwa mudi
Sasa mbona jibu unalo.. unachobishana hapa ni kipi?Timu mwenyeji anavaa jezi yake aliyoipanga kuitumia akiwa home. ila timu ngeni ndio itakayoamua kuvaa jezi namba tatu ikiwa jezi zake zote mbili zinafanana na timu mwenyeji.
Pole ndugu... Kimada wa Mo amekuwahi, subiri wakiachana.Mmesikia wapi timu inazindua jezi mpya mara mbili kwenye msimu mmoja Mo na kimada wake watawauwa msimu huu...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wabunifu ni SIFURI KABISA
Ndiyo ujue hizi klabu zetu watu hawatumii akili, hivi wakienda kucheza na timu inayotumia jezi nyekundu hao Simba watavaa jezi ipi?
Ww n mjinga kama Hao wenzioNa wewe unawaza sifuri square!
Kwani hiyo timu nyingine itakuwa inajezi zote za rangi aina moja? Halafu kwani hizo jezi za simba zote ni nyekundu purely?
Lakini vile vile utambue hadi wakatambulisha tayari CAF ilishawapa baraka zote kwa kuona kuwa hazina changamoto ya rangi!
Yaani utopolo sijui mkoje lakini!
Umeona wapi nimebishana? Hiyo ndio comment yangu ya kwanza. Sasa wewe unakurupuka tu bila kuangalia alikuwa anajibizana na naniSasa mbona jibu unalo.. unachobishana hapa ni kipi?
Ahahahah ndio nimeiangalia vzr sana... Chagua itakupendeza sana.. Au nikuchagulie?Dooh!! Binamu jezi yenyewe umeiangalia vizuri lakini?
Tusipoteze hela yetu hebu. ππ
Uto ni uto tu mkuu[emoji23][emoji23]Na wewe unawaza sifuri square!
Kwani hiyo timu nyingine itakuwa inajezi zote za rangi aina moja? Halafu kwani hizo jezi za simba zote ni nyekundu purely?
Lakini vile vile utambue hadi wakatambulisha tayari CAF ilishawapa baraka zote kwa kuona kuwa hazina changamoto ya rangi!
Yaani utopolo sijui mkoje lakini!
[emoji23][emoji44] vitambaa kutoka Mombasa.
Yanga mnazengwe,mshapata vya kutufananishia!!
Jezi kama timu fulani huko Italy au Laliga. Hii ndio maana ya next level.
Kuwa serious..ningekuwa kiongozi wa michezo shuleni na nikaletewa jezi hizi ziwe za school team ningezikataaJezi kama timu fulani huko Italy au Laliga. Hii ndio maana ya next level.