Simba Sc Next Level wazindua uzi matata kabisa

Simba Sc Next Level wazindua uzi matata kabisa

Timu mwenyeji anavaa jezi yake aliyoipanga kuitumia akiwa home. ila timu ngeni ndio itakayoamua kuvaa jezi namba tatu ikiwa jezi zake zote mbili zinafanana na timu mwenyeji.
Sasa mbona jibu unalo.. unachobishana hapa ni kipi?
 
Wabunifu ni SIFURI KABISA

Ndiyo ujue hizi klabu zetu watu hawatumii akili, hivi wakienda kucheza na timu inayotumia jezi nyekundu hao Simba watavaa jezi ipi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na wewe unawaza sifuri square!
Kwani hiyo timu nyingine itakuwa inajezi zote za rangi aina moja? Halafu kwani hizo jezi za simba zote ni nyekundu purely?
Lakini vile vile utambue hadi wakatambulisha tayari CAF ilishawapa baraka zote kwa kuona kuwa hazina changamoto ya rangi!
Yaani utopolo sijui mkoje lakini!
Ww n mjinga kama Hao wenzio

Unategemea Tim ya nyumban ipangiwe
Jez za kuvaa na mgeni???
 
Sasa mbona jibu unalo.. unachobishana hapa ni kipi?
Umeona wapi nimebishana? Hiyo ndio comment yangu ya kwanza. Sasa wewe unakurupuka tu bila kuangalia alikuwa anajibizana na nani
 
Kukosa ubunifu shida sana,sasa msimu mmoja unakuwa na jezi 4 tofauti?......sijui sana issue za masoko ila naona nikumsumbua mnunuaji......sijaona umuhimu wa kuzindua jezi eti za kimataifa.....mkipigwa na Wanaija.....mtaanza kudekia?

Hizi timu za urithi shida sana,poleni mikia
 
Jezi kama timu fulani huko Italy au Laliga. Hii ndio maana ya next level.
 
Na wewe unawaza sifuri square!
Kwani hiyo timu nyingine itakuwa inajezi zote za rangi aina moja? Halafu kwani hizo jezi za simba zote ni nyekundu purely?
Lakini vile vile utambue hadi wakatambulisha tayari CAF ilishawapa baraka zote kwa kuona kuwa hazina changamoto ya rangi!
Yaani utopolo sijui mkoje lakini!
Uto ni uto tu mkuu[emoji23][emoji23]
 
Sawa
FB_IMG_16058041053732943.jpg
 
Hoja zingine Hana! Hivi inawezekana vipi wote kukubaliana kuwa Nguo fulani dizaina' wake na rangi Ni nzuri!???
Uzuri upo kwa mtu binafsi !
 
Jezi kama timu fulani huko Italy au Laliga. Hii ndio maana ya next level.
Kuwa serious..ningekuwa kiongozi wa michezo shuleni na nikaletewa jezi hizi ziwe za school team ningezikataa
 
Back
Top Bottom