nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
- Thread starter
-
- #21
hadi bashiru kwa mara ya kwanza siku ile alitabasamu kisa simba kafungwa hawa jamaa kwa furaha waliacha hata kulalamikia goal walilonyimwa vs namungo ,ila nawaonea huruma sana wanapuyanga sanaT
Tukumbushe miaka ya karibuni Simba wakifanya ujinga huo...Yanga wamezidi hata Wabunge shaabiki was Yanga walikuwa wanashangilia Kaiser Tena Ndani ya Binge...ama kweli jina Lina sadifu utopolo!!
Sawa hauwoni mjinga alie kiuka ksnuni na kufuata siasakamuulizeni waziri wenu huyo aliyesogeza mbele ili wamalize kuzindua kitabu na kupena benzi
angalia kanuni zilivypoindishwa 2018 tena ka kombe cha shirikishoSawa hauwoni mjinga alie kiuka ksnuni na kufuata siasa
Simba wasahaulifu hivi mnakumbuka mechi ya Mazembe,Manji alilipia uwanja mzima ili MASHABIKI WA YANGA WAINGIE BURE mnakumbuka!!!! na nyinyi mkaingia bure tena mkihamasishwa na msemaji wenu kwa lugha za kuiponda Yanga mkaishangilie Mazembe na kweli tulifungwa mkashangilia sana.kwa mara ya pili in 3 years ligi ya Tanzania inaenda kuingiza teams 4 afrika leo hadi biashara na kmc wanapambania nafasi ya 4 sababu lolote linaweza kutokea,lakini anayesababisha yote hayo anapigwa vita kwelikweli yaani ni vita kweli soyo ya maneno tu ni ya vitendo:
_mwaka juzi kuna team ilikuwa na very crucial match iringa lakini ikamuacha kocha wake mcongo dsm ili aisaidie as vita iifunge simba ili iisiende robo fainali,kule iringa wakapoteza na as vita akafungwa hata baada ya kufata ushauri wa team hiyo kwamba wasiingie vyumbani kuna sumu imepulizwa
_Tp mazembe kwenye robo fainali walifatwa na hao jamaa sema waliwakatalia msaada wao wakatupiga robo fainali ila kwa mara ya kwanza tukaingiza teams 4 na hayo majinga yakafaidika
-This time same story vita vikali wamenunua jezi za wapinzani wa simba hadi wamechanganyikiwa
-Leo kilichotokea cha 3-0 afrika nzima hadi mashabiki wa kaizer chiefs wanakiri simba ni nooma ukiingia kwenye page ya kazier chiefs unakuta hao jamaa wamepost VIDEO YA JAMAA ANAVINJA NAZI,PICHA ZA MWAKA JANA SIMBA WAKIWA WANAPANDA ,MLIMA ULUGURU MOROGORO NA KUDAI SIMBA JANA WALIKUWA MSITUNI..VIDEO YA SIMBA VS MBABANE MWAKA JUZI huko swaziland BAADA YA SIMBA KUGUNDUA KUNA SUMU VYUMBANI JAMAA WANADAI KWAMBA NI SUMU ILIPULIZWA LEO YAANI HADI MANARA ANAONEKANA WAKATI ALIKUWA MSIBANI DODOMA
_mashabiki wa kaizer chiefs wanaaiita tanzania league ni farmers league ila simba ni kiboko basi jamaa hawa wasiobebeka wakiona hizo comments wanaingilia kati na kuongea ujinga
ni aibu sana
Wapi Simba SC walikwenda kupokea wapinzani (wageni) Airport? Huo upuuzi upo huko kwenu Utopoloni na ndo maana kuna Kamati ya Mapokezi.Kama unakuwa hujui mambo ya simba na Yanga ni vema ukakaa kimya tu. Ni mambo yaliyozoeleka kwenye mashabiki wa simba na Yanga. Mara kibao tu mashabiki wa simba walikuwa wakiwapokea wapinzani wa Yanga kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika. Vivyo hivyo kwa mashabiki wa Yanga kuwapokea wapinzani wa simba. Kifupi ni vitu vilivyozoeleka.
HISTORIA YAKO WEWE IMEANZIA HAPO? kwa taarifa yako before 1993 hakukuwaga na ujinga huo..utopolo walianzisha kwenye fainali ya kombe la CAF uwanja wa taifa second leg...mechi ya kwanza kule abidjan simba 0-stella abidjan 0..bolizozo katupiga goals 2 zikawekwa hsitoria mbili ,mgeni rasmi huku akishuhudia kombe la afrika likienda cote de ivoire mzee mwinyi akasema tanzania kwenye soka ni kichwa cha mwendawazimu na utopolo kuimba UZALENDO UMETUSHINDA..hopeless kabisa nyie watu nawakumbusha tu wembe mnaoulilia hamuuwezi embi oneni hili kundi mchekea kabisa mkatia aibu pungauni nyieSimba wasahaulifu hivi mnakumbuka mechi ya Mazembe,Manji alilipia uwanja mzima ili MASHABIKI WA YANGA WAINGIE BURE mnakumbuka!!!! na nyinyi mkaingia bure tena mkihamasishwa na msemaji wenu kwa lugha za kuiponda Yanga mkaishangilie Mazembe na kweli tulifungwa mkashangilia sana.
Sasa Yanga kosa lao ni nini kufanya mlichofanya nyinyi kwa Mazembe au ndio mshasahau.
Kipindi kile cha Manji ,Manara kishaiombea Yanga mabaya mara ngapi? Acheni kuwa wasahaulifu kwani leo Yanga wamekifanya mlicho wafanyia wao kwa Mazembe na shangaa mnalalamika.
Msiwe wasahaulifu alafu uzuri leo mashabiki wa Yanga walitumia hela zao kwenda kutizama mechi ,husimpangie ashangilie mechi gani,ila nyinyi mlijipenyeza na kuingia BURE wakati Manji aliwalipia mashabiki wa Yanga so ndio mpira wetu huu.
kabisa na per diem inatoka klabuni inachekesha kweli eti nao wanataka kwenda kimataifa sijui wanadhani kule kuna kina asukile wa kuwaambia tutawapa dollar 20,000 team nzima mtuachie magoli?labda wakutane na team ya somalia kwenye shirikisho maana mabingwa tunaenda sisi na azam.Wapi Simba SC walikwenda kupokea wapinzani (wageni) Airport? Huo upuuzi upo huko kwenu Utopoloni na ndo maana kuna Kamati ya Mapokezi.
Kumbe historia unaijua sasa unalalamika nini wakati nyie mshafanya kama alivyo fanya leo Yanga,cha msingi tuvumiliane.HISTORIA YAKO WEWE IMEANZIA HAPO? kwa taarifa yako before 1993 hakukuwaga na ujinga huo..utopolo walianzisha kwenye fainali ya kombe la CAF uwanja wa taifa second leg...mechi ya kwanza kule abidjan simba 0-stella abidjan 0..bolizozo katupiga goals 2 zikawekwa hsitoria mbili ,mgeni rasmi huku akishuhudia kombe la afrika likienda cote de ivoire mzee mwinyi akasema tanzania kwenye soka ni kichwa cha mwendawazimu na utopolo kuimba UZALENDO UMETUSHINDA..hopeless kabisa nyie watu nawakumbusha tu wembe mnaoulilia hamuuwezi embi oneni hili kundi mchekea kabisa mkatia aibu pungauni nyieView attachment 1794423
Kwa sababu za kisiasa au?angalia kanuni zilivypoindishwa 2018 tena ka kombe cha shirikishoView attachment 1794383