Simba SC ni lini mtatoa tamko lenu kali dhidi ya Utangazaji wa Chuki na Kiuchochezi wa Maulid Kitenge na Wasafi FM yake?

Siku zote watu hawapendi kuambiwa ukweli kwakua ukweli unauma. Acha utoto, Simba ni klabu ya wananchi uyo Bwanyenye asiwafanye muwe vipofu.
 
Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC.

Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona kabisa kuwa huwa anafanya Makusudi na Kudhamiria Kuichokonoa na Kutangaza Habari hasi (mbaya) kuihusu Klabu ya Simba.

Kwa mfano kwa Sisi Watu wa Michezo na wengine tuna bahati Kubwa ya kuwa na Marafiki Yanga SC, Azam FC, Simba SC, Namungo FC na hadi Mtibwa FC hivyo tunajua kuwa huko Yanga SC kuna Mafukuto matatu yanaendelea yakiwemo ya Kocha Kaze na Kiungo Mukoko, Wasemaji wao wawili Kugombana kila mara hadi Kutishiana na Mchezaji kutoka Angola Carlinhos Kugoma Kucheza hadi amaliziwe Pesa yake huku la mwisho likiwa ni Malalamiko ya Wachezaji Kurogana (Kuumizana) ila Mtangazaji Kitenge hayagusii.

Siishabikii Simba SC wala Yanga SC ila nadhani sasa imefikia muda Uongozi wa Simba SC utoe tamko lake Kali/ Zito Kwake Maulid Baraka Kitenge.
Kumtolea tamko mpuuzi kama.yule.ni kujishusha
 
tunajua kuwa huko Yanga SC kuna Mafukuto matatu yanaendelea yakiwemo ya Kocha Kaze na Kiungo Mukoko, Wasemaji wao wawili Kugombana kila mara hadi Kutishiana na Mchezaji kutoka Angola Carlinhos Kugoma Kucheza hadi amaliziwe Pesa yake huku la mwisho likiwa ni Malalamiko ya Wachezaji Kurogana (Kuumizana)

Una proof na ulichokisema hapo juu mkuu?
Simulia habar yote basi mkuu mbona umekomeshea njiani ?
Mm na wadau atujamjua huyo "mlozi" 🗣️ tutajieeeee ni nani
 
Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC.

Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona kabisa kuwa huwa anafanya Makusudi na Kudhamiria Kuichokonoa na Kutangaza Habari hasi (mbaya) kuihusu Klabu ya Simba.

Kwa mfano kwa Sisi Watu wa Michezo na wengine tuna bahati Kubwa ya kuwa na Marafiki Yanga SC, Azam FC, Simba SC, Namungo FC na hadi Mtibwa FC hivyo tunajua kuwa huko Yanga SC kuna Mafukuto matatu yanaendelea yakiwemo ya Kocha Kaze na Kiungo Mukoko, Wasemaji wao wawili Kugombana kila mara hadi Kutishiana na Mchezaji kutoka Angola Carlinhos Kugoma Kucheza hadi amaliziwe Pesa yake huku la mwisho likiwa ni Malalamiko ya Wachezaji Kurogana (Kuumizana) ila Mtangazaji Kitenge hayagusii.

Siishabikii Simba SC wala Yanga SC ila nadhani sasa imefikia muda Uongozi wa Simba SC utoe tamko lake Kali/ Zito Kwake Maulid Baraka Kitenge.
Wewe mwenyewe mzushi afu unamsema Kitenge! Acheni gubu nyie mikia mnataka kusifiwa tu!?
 
Asante kwa kutupa taarifa kuwa Yanga sc Kuna fukuto, Ila hujatwambia kitenge kafanya nini baya kwa Simba sc Kama kichwa Cha uzi wako.
Ni Mpumbavu aliyevuka mipaka na Kiwango cha Kumvumilia kwa wana Simba SC kinaelekea Ukingoni. Asije Kulaumu tu Wanaomjua wakifunguka.
 
Ni kweli Kitenge ni mshabiki mkubwa wa Utopolo na huwa anatafuta hbari za simba kuzifanya mbaya ili kuwavuruga mashabiki?
Sasa hadi umeandika amefanya nini tena? Maana tunashindwa hata kumjadili
Unaposema kuwa Mtangazaji Maulid Kitenge kafanya nini wakati nimeshaelezea hapo katika Maelezo ni kunitafuta tu Ubaya kisha Unichukie pia.
 
tunajua kuwa huko Yanga SC kuna Mafukuto matatu yanaendelea yakiwemo ya Kocha Kaze na Kiungo Mukoko, Wasemaji wao wawili Kugombana kila mara hadi Kutishiana na Mchezaji kutoka Angola Carlinhos Kugoma Kucheza hadi amaliziwe Pesa yake huku la mwisho likiwa ni Malalamiko ya Wachezaji Kurogana (Kuumizana)

Una proof na ulichokisema hapo juu mkuu?
Kama naweza Kutabiri ( tena kwa kujiamini ) kuhusu Matokeo ya Taifa Stars hadi Mfungaji wake nitashindwa kujua yanayoendelea huko Yanga SC?
 
Mijitu mingine akili yao hovyo wewe umejuaje kuwa Yanga kuna fukuto tatu una ushahidi gani hivi na wewe ukiitwa mchochezi kama unavyodai kwa Kitenge basi mpelekeni msena hovyo Manara akawapambe simba maana mnapenda sifa msiostahili
Huwa siyumbishwi na sipotezewi muda na Wanaume Wasukuma Ukuta kama Wewe na isitoshe huna Hadhi ya Kushindana nami kuhusu hii Mipira.
 
Kama naweza Kutabiri ( tena kwa kujiamini ) kuhusu Matokeo ya Taifa Stars hadi Mfungaji wake nitashindwa kujua yanayoendelea huko Yanga SC?
Matokeo ya taifa stars kesho yatakuwaje boss pamoja na wafungaji
 
Subiria filimbi ya mwisho ya Mwamuzi kwani wengi wenu mmekalia tu Unafiki na Sanifu hivyo kuanzia leo sitotoa tena hapa Utabiri wangu Kwenu.
 
Huyo mzungu pori wenu Manara akitukana klabu ya Yanga mbona hamji na matamko, mkemeeni kwanza Huyo mlopokaji wenu ndipo tutaona mnataka ustaarabu.
 
Kitenge shabiki wa Simba labda Kuna fursa aliikosa au anaigiza
 
Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC.

Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona kabisa kuwa huwa anafanya Makusudi na Kudhamiria Kuichokonoa na Kutangaza Habari hasi (mbaya) kuihusu Klabu ya Simba.

Siishabikii Simba SC wala Yanga SC ila nadhani sasa imefikia muda Uongozi wa Simba SC utoe tamko lake Kali/ Zito Kwake Maulid Baraka Kitenge.

1611724686707.png
 
Back
Top Bottom