Simba SC ni lini mtatoa tamko lenu kali dhidi ya Utangazaji wa Chuki na Kiuchochezi wa Maulid Kitenge na Wasafi FM yake?

Siku zote watu hawapendi kuambiwa ukweli kwakua ukweli unauma. Acha utoto, Simba ni klabu ya wananchi uyo Bwanyenye asiwafanye muwe vipofu.
 
Kumtolea tamko mpuuzi kama.yule.ni kujishusha
 
Simulia habar yote basi mkuu mbona umekomeshea njiani ?
Mm na wadau atujamjua huyo "mlozi" 🗣️ tutajieeeee ni nani
 
Wewe mwenyewe mzushi afu unamsema Kitenge! Acheni gubu nyie mikia mnataka kusifiwa tu!?
 
Asante kwa kutupa taarifa kuwa Yanga sc Kuna fukuto, Ila hujatwambia kitenge kafanya nini baya kwa Simba sc Kama kichwa Cha uzi wako.
Ni Mpumbavu aliyevuka mipaka na Kiwango cha Kumvumilia kwa wana Simba SC kinaelekea Ukingoni. Asije Kulaumu tu Wanaomjua wakifunguka.
 
Ni kweli Kitenge ni mshabiki mkubwa wa Utopolo na huwa anatafuta hbari za simba kuzifanya mbaya ili kuwavuruga mashabiki?
Sasa hadi umeandika amefanya nini tena? Maana tunashindwa hata kumjadili
Unaposema kuwa Mtangazaji Maulid Kitenge kafanya nini wakati nimeshaelezea hapo katika Maelezo ni kunitafuta tu Ubaya kisha Unichukie pia.
 
Kama naweza Kutabiri ( tena kwa kujiamini ) kuhusu Matokeo ya Taifa Stars hadi Mfungaji wake nitashindwa kujua yanayoendelea huko Yanga SC?
 
Mijitu mingine akili yao hovyo wewe umejuaje kuwa Yanga kuna fukuto tatu una ushahidi gani hivi na wewe ukiitwa mchochezi kama unavyodai kwa Kitenge basi mpelekeni msena hovyo Manara akawapambe simba maana mnapenda sifa msiostahili
Huwa siyumbishwi na sipotezewi muda na Wanaume Wasukuma Ukuta kama Wewe na isitoshe huna Hadhi ya Kushindana nami kuhusu hii Mipira.
 
Kama naweza Kutabiri ( tena kwa kujiamini ) kuhusu Matokeo ya Taifa Stars hadi Mfungaji wake nitashindwa kujua yanayoendelea huko Yanga SC?
Matokeo ya taifa stars kesho yatakuwaje boss pamoja na wafungaji
 
Matokeo ya taifa stars kesho yatakuwaje boss pamoja na wafungaji
Subiria filimbi ya mwisho ya Mwamuzi kwani wengi wenu mmekalia tu Unafiki na Sanifu hivyo kuanzia leo sitotoa tena hapa Utabiri wangu Kwenu.
 
Huyo mzungu pori wenu Manara akitukana klabu ya Yanga mbona hamji na matamko, mkemeeni kwanza Huyo mlopokaji wenu ndipo tutaona mnataka ustaarabu.
 
Kitenge shabiki wa Simba labda Kuna fursa aliikosa au anaigiza
 


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…