Simba SC ni timu inayoendeshwa kwa propaganda sana

CAF Champion group stage eti leo inachambuliwa kupitia Mapinduzi cup๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Mpaka Sasa Hawa ndio wachezaj wanaostahili kubakia kweny klabu yetu.

1..Manula
2..beno
3.. kapombe
4.. tshabalala
5.. inonga
6.. onyango
7..muzamiru
8.. kanoute
9.. chama
10.saido
11.phiri
12.sakho
13.banda
14.okrah
15.kenned

Ni wachezaj 15 tuu
Israel mwenda hafai?
 
Hivi hamuoni kama timu inazidi kupata ukame wa vikombe?? Au mmeshakubali paka Samia atoke madarakani ndio tuwaulize kuhusu kombe eti????
Mnatia huruma sana aisee[emoji24][emoji24]
Nyie mlivyokaa miaka 6 bila kombe magu aliwauliza
 
Hivi hamuoni kama timu inazidi kupata ukame wa vikombe?? Au mmeshakubali paka Samia atoke madarakani ndio tuwaulize kuhusu kombe eti????
Mnatia huruma sana aisee[emoji24][emoji24]
simba inashika nafasi ya 12 kwa ubora africa hivi yanga ni yangapi?
 
Yule aliekuwa kocha wenu hakukosea kuwaita utopolo wengi ni mambwa mna bweka bweka hovyo umeshiba mihogo unakuja kuandika ushuzi humu
 
Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana,vp ile miaka minne mfululizo mlikuwa watoto co???
Hivi hamuoni kama timu inazidi kupata ukame wa vikombe?? Au mmeshakubali paka Samia atoke madarakani ndio tuwaulize kuhusu kombe eti????
Mnatia huruma sana aisee[emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ