Simba SC ni timu inayoendeshwa kwa propaganda sana

Simba SC ni timu inayoendeshwa kwa propaganda sana

Mpaka Sasa Hawa ndio wachezaj wanaostahili kubakia kweny klabu yetu.

1..Manula
2..beno
3.. kapombe
4.. tshabalala
5.. inonga
6.. onyango
7..muzamiru
8.. kanoute
9.. chama
10.saido
11.phiri
12.sakho
13.banda
14.okrah
15.kenned

Ni wachezaj 15 tuu
Israel mwenda hafai?
 
Hivi hamuoni kama timu inazidi kupata ukame wa vikombe?? Au mmeshakubali paka Samia atoke madarakani ndio tuwaulize kuhusu kombe eti????
Mnatia huruma sana aisee[emoji24][emoji24]
Nyie mlivyokaa miaka 6 bila kombe magu aliwauliza
 
Yule aliekuwa kocha wenu hakukosea kuwaita utopolo wengi ni mambwa mna bweka bweka hovyo umeshiba mihogo unakuja kuandika ushuzi humu
 
Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana,vp ile miaka minne mfululizo mlikuwa watoto co???
Hivi hamuoni kama timu inazidi kupata ukame wa vikombe?? Au mmeshakubali paka Samia atoke madarakani ndio tuwaulize kuhusu kombe eti????
Mnatia huruma sana aisee[emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom