Mambo meusi
Member
- Dec 18, 2022
- 13
- 9
CAF Champion group stage eti leo inachambuliwa kupitia Mapinduzi cup🏃🏃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel mwenda hafai?Mpaka Sasa Hawa ndio wachezaj wanaostahili kubakia kweny klabu yetu.
1..Manula
2..beno
3.. kapombe
4.. tshabalala
5.. inonga
6.. onyango
7..muzamiru
8.. kanoute
9.. chama
10.saido
11.phiri
12.sakho
13.banda
14.okrah
15.kenned
Ni wachezaj 15 tuu
Nyie mlivyokaa miaka 6 bila kombe magu aliwaulizaHivi hamuoni kama timu inazidi kupata ukame wa vikombe?? Au mmeshakubali paka Samia atoke madarakani ndio tuwaulize kuhusu kombe eti????
Mnatia huruma sana aisee[emoji24][emoji24]
simba inashika nafasi ya 12 kwa ubora africa hivi yanga ni yangapi?Hivi hamuoni kama timu inazidi kupata ukame wa vikombe?? Au mmeshakubali paka Samia atoke madarakani ndio tuwaulize kuhusu kombe eti????
Mnatia huruma sana aisee[emoji24][emoji24]
Kwaio nanyie mnataka kutuiga sioNyie mlivyokaa miaka 6 bila kombe magu aliwauliza
Hivi hamuoni kama timu inazidi kupata ukame wa vikombe?? Au mmeshakubali paka Samia atoke madarakani ndio tuwaulize kuhusu kombe eti????
Mnatia huruma sana aisee[emoji24][emoji24]