Simba SC Ni wakati wa Kumfukuza Manara

Huyu hana sifa ya kuwa msemaji wa timu...
Hana staha....
Hana adabu...

Zaidi namuona ni muhuni tu.
Kwa ubora na heshma waliyonayo simba kwa sasa kuwa na msemaji wa kiwango cha Manara nisawa na mtu aliyevaa suti chini amevaa ndala. Manara namna anavyo zungumza ni kama Simba timu ya mchangani inayo shiriki kombe la Michele.
 
Huyu hana sifa ya kuwa msemaji wa timu...
Hana staha....
Hana adabu...

Zaidi namuona ni muhuni tu.
Mwonee huruma aendelee kula hela za Mo. Vinginevyo, atarudi kwenye kazi yake ya wizi na utapeli wa magari Kariakoo.
 
Huyu hana sifa ya kuwa msemaji wa timu...
Hana staha....
Hana adabu...

Zaidi namuona ni muhuni tu.
Labda utaje mfano mmoja wa msemaji mzuri wa klabu hapa bongo
 
Nyie msemaji ndo kocha vyura mmepagawa nyie na mvua huu
 
Kweli kabisa Mkuu Manara pia hana vyeti vya kitaaluma ya mambo ya Habari ndo maana hata Ethics za habari hazijui kumpelekea kuwa anaropoka sana kifupi mdomk ndo unamweka mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…