Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhuni wa kariakoo.Huyu hana sifa ya kuwa msemaji wa timu...
Hana staha....
Hana adabu...
Zaidi namuona ni muhuni tu.
Kwa ubora na heshma waliyonayo simba kwa sasa kuwa na msemaji wa kiwango cha Manara nisawa na mtu aliyevaa suti chini amevaa ndala. Manara namna anavyo zungumza ni kama Simba timu ya mchangani inayo shiriki kombe la Michele.Huyu hana sifa ya kuwa msemaji wa timu...
Hana staha....
Hana adabu...
Zaidi namuona ni muhuni tu.
Labda apewe ZAHERA!Tupe pendekezo la atakayefaa
Hajui kiswahili vizuriLabda apewe ZAHERA!
Kusema 'mimi' yeye anasema 'meeeeeee!'!Hajui kiswahili vizuri
Ni hayo tu? Au kuna kitu kakukosea?Huyu hana sifa ya kuwa msemaji wa timu...
Hana staha....
Hana adabu...
Zaidi namuona ni muhuni tu.
Mwonee huruma aendelee kula hela za Mo. Vinginevyo, atarudi kwenye kazi yake ya wizi na utapeli wa magari Kariakoo.Huyu hana sifa ya kuwa msemaji wa timu...
Hana staha....
Hana adabu...
Zaidi namuona ni muhuni tu.
Labda utaje mfano mmoja wa msemaji mzuri wa klabu hapa bongoHuyu hana sifa ya kuwa msemaji wa timu...
Hana staha....
Hana adabu...
Zaidi namuona ni muhuni tu.