Simba SC Ni wakati wa Kumfukuza Manara

Simba SC Ni wakati wa Kumfukuza Manara

Huyu hana sifa ya kuwa msemaji wa timu...
Hana staha....
Hana adabu...

Zaidi namuona ni muhuni tu.
Kwani simba ni Seminary kwamba wanaangalia maadili??we mwenyewe huna staha na adabu haji afukuzwe au asifukuzwe unafaidika nini??
 
Kwa ubora na heshma waliyonayo simba kwa sasa kuwa na msemaji wa kiwango cha Manara nisawa na mtu aliyevaa suti chini amevaa ndala. Manara namna anavyo zungumza ni kama Simba timu ya mchangani inayo shiriki kombe la Michele.
Ila zahera ndo msemaji bora ktk klabu inayocheza ligi ya juu
 
Back
Top Bottom