Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani simba ni Seminary kwamba wanaangalia maadili??we mwenyewe huna staha na adabu haji afukuzwe au asifukuzwe unafaidika nini??Huyu hana sifa ya kuwa msemaji wa timu...
Hana staha....
Hana adabu...
Zaidi namuona ni muhuni tu.
Ila zahera ndo msemaji bora ktk klabu inayocheza ligi ya juuKwa ubora na heshma waliyonayo simba kwa sasa kuwa na msemaji wa kiwango cha Manara nisawa na mtu aliyevaa suti chini amevaa ndala. Manara namna anavyo zungumza ni kama Simba timu ya mchangani inayo shiriki kombe la Michele.