Stoneboy Senior Member Joined Apr 4, 2019 Posts 197 Reaction score 310 May 10, 2019 #21 Naleo mnaziacha Mara msijifanye mnatuzuga hapa
D DEAL88 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2016 Posts 875 Reaction score 1,098 May 10, 2019 #22 hiden said: Huyu hana sifa ya kuwa msemaji wa timu... Hana staha.... Hana adabu... Zaidi namuona ni muhuni tu. Click to expand... Kwani simba ni Seminary kwamba wanaangalia maadili??we mwenyewe huna staha na adabu haji afukuzwe au asifukuzwe unafaidika nini??
hiden said: Huyu hana sifa ya kuwa msemaji wa timu... Hana staha.... Hana adabu... Zaidi namuona ni muhuni tu. Click to expand... Kwani simba ni Seminary kwamba wanaangalia maadili??we mwenyewe huna staha na adabu haji afukuzwe au asifukuzwe unafaidika nini??
D DEAL88 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2016 Posts 875 Reaction score 1,098 May 10, 2019 #23 redio said: Kwa ubora na heshma waliyonayo simba kwa sasa kuwa na msemaji wa kiwango cha Manara nisawa na mtu aliyevaa suti chini amevaa ndala. Manara namna anavyo zungumza ni kama Simba timu ya mchangani inayo shiriki kombe la Michele. Click to expand... Ila zahera ndo msemaji bora ktk klabu inayocheza ligi ya juu
redio said: Kwa ubora na heshma waliyonayo simba kwa sasa kuwa na msemaji wa kiwango cha Manara nisawa na mtu aliyevaa suti chini amevaa ndala. Manara namna anavyo zungumza ni kama Simba timu ya mchangani inayo shiriki kombe la Michele. Click to expand... Ila zahera ndo msemaji bora ktk klabu inayocheza ligi ya juu