Simba SC ni wakati wa kusikilizia maumivu, Makocha wazungu ni ovyo sana

Huyu angekuja na Vipers yake na Mgunda wenu tusingetoboa! Mashabiki wa Simba ni mzigo! Hata mgunda alipotoa sare game ya Azam na kupoteza baadhi mkamtukana hafai! Ushabiki wetu ni wa hasara pale tu timu ikishinda kwa pira biriani!

Leo tumeshinda, its enough! Kocha hana hata wiki mnaongea kama nini! Mnawapa wachezaji kichwa wasiheshimu walimu! Viongozi wa Simba wasiogope kuwapusua Mashabiki maandazi wanaopaniki ovyo ovyo kwenye mambo yanayohitaji muda.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la Tanzania Kila mtu ni kocha, moja ya mambo aliyolaumiwa Mgunda ni kung'ang'ania mfumo uleule hata kama umefeli rejea mechi ya Azam kama mfano kingine ni kuchelewa kufanya sub Jana imeonyesha Simba wamepata kocha wa kiwango Cha juu na mwenye uthubutu sanasana tujiulize juu ya mfanyakazi hewa mchambuzi wa video
 
Yupi huyo mchambuzi wa video?
 
Kabla hajaletwa ohhhh! SIMBA IMEKOSA PESA YA KUAJIRI KOCHA WA GHARAMA (WA KIGENI)
Leo Simba wamemleta kocha wa kigeni huyo wanayehisi Simba walimkosa kisa hawana pesa watu wanageuka tena ohhh angeachwa Mgunda na blahblah kibao
 
Hatunaga jema binadamu
 
Back
Top Bottom