Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
SahihiKocha kaitengeneza Vipers kila mtu ameuona ubora wao, hizi pressure zenu ni wenge tu, apewe muda...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihiKocha kaitengeneza Vipers kila mtu ameuona ubora wao, hizi pressure zenu ni wenge tu, apewe muda...
😆😆😆😆😆😆Sisi mashabiki tunamuunga mkono kocha na kibu hadi dakika ya mwisho
Mbali huko???Kocha kazi anayo, ile penalty haieleweki imetoka wapi, ila pia watu kuchomoa tena wakiwa pungufu inafikirisha sana. Kocha anaweza asimalize huu msimu.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Yupi huyo mchambuzi wa video?Tatizo la Tanzania Kila mtu ni kocha, moja ya mambo aliyolaumiwa Mgunda ni kung'ang'ania mfumo uleule hata kama umefeli rejea mechi ya Azam kama mfano kingine ni kuchelewa kufanya sub Jana imeonyesha Simba wamepata kocha wa kiwango Cha juu na mwenye uthubutu sanasana tujiulize juu ya mfanyakazi hewa mchambuzi wa video
Nani amechomoa wakiwa pungufu? Umeangalia mpira upi?Kocha kazi anayo, ile penalty haieleweki imetoka wapi, ila pia watu kuchomoa tena wakiwa pungufu inafikirisha sana. Kocha anaweza asimalize huu msimu.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Yule mzimbabweYupi huyo mchambuzi wa video?
Ooh ok. Huyo sijamsikiaYule mzimbabwe
Hatunaga jema binadamuKabla hajaletwa ohhhh! SIMBA IMEKOSA PESA YA KUAJIRI KOCHA WA GHARAMA (WA KIGENI)
Leo Simba wamemleta kocha wa kigeni huyo wanayehisi Simba walimkosa kisa hawana pesa watu wanageuka tena ohhh angeachwa Mgunda na blahblah kibao