GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nasikia muda wowote Mzungu 'Mserbia' anasainishwa na Kutangazwa badala ya Mchezaji ambaye wana Simba SC wote tunamtama, anajua Kufunga na tumemsubiria muda mrefu Ceaser Lobi Manzoki.
Naandaa sasa Nondo zangu za SIRI za Ndani kabisa juu ya yanayoendelea ndani ya Simba SC na yaliyopita hadi tumekosa Makombe yote muhimu na kufanya vibaya CAFCL na CAFCC.
Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara Gonzalez, Mjumbe Mulamu na Mwenyekiti Murtaza huyo Mzungu akisinya tu Simba SC jiandaeni Kisaikolojia kwani GENTAMYCINE nitaenda Kuyaanika Makubwa yenu na ya Hatari hapa hapa.
Mkitaka nipoe leo Manzoki asajiliwe!!!