GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hajui kama Manzoki period.Lakini brother ushamfatilia huyo mserbia? Ana matatizo gan?
Barbara haelewani na Mangungu
Barbara kamuwamba makofi Ahmed
Mo hajaweka 20b
Kwanini jezi zimechelewa kutoka
Simba kununua mechi za ligi kuu
Yaani Simba iumbuke kwajili yako .... ushakuwa Bughati part 2!Nasikia muda wowote Mzungu 'Mserbia' anasainishwa na Kutangazwa badala ya Mchezaji ambaye wana Simba SC wote tunamtama, anajua Kufunga na tumemsubiria muda mrefu Ceaser Lobi Manzoki.
Naandaa sasa Nondo zangu za SIRI za Ndani kabisa juu ya yanayoendelea ndani ya Simba SC na yaliyopita hadi tumekosa Makombe yote muhimu na kufanya vibaya CAFCL na CAFCC.
Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara Gonzalez, Mjumbe Mulamu na Mwenyekiti Murtaza huyo Mzungu akisinya tu Simba SC jiandaeni Kisaikolojia kwani GENTAMYCINE nitaenda Kuyaanika Makubwa yenu na ya Hatari hapa hapa.
Mkitaka nipoe leo Manzoki asajiliwe!!!
Hujajibu swali kimsingi umejib kimhemko, nilifikiria umemfatilia mserbia na nilitegemea kujibu kimpira sio kishabikiHajui kama Manzoki period.
Manzoki ameshaongeza mkataba na timu yake mpaka 2025! Hizi ni tetesi tu lakini. Hivyo kama kweli simba inamtaka, basi italazimika kuvunja benki.Simba bado wana nafasi ya kusajili wachezaji wawili. Huenda Manzoki akawa wa mwisho kusajiliwa! Tuvute subira mkuu ingawa hata Mimi binafsi nitaumia sana Manzoki asiposajiliwa
Ulikuepo wakati anaongeza huo mkataba?Manzoki ameshaongeza mkataba na timu yake mpaka 2025! Hizi ni tetesi tu lakini. Hivyo kama kweli simba inamtaka, basi italazimika kuvunja benki.
Je, Dr. Mo yuko tayari kwa hilo?
Ameongeza lini? Kwa sababu ushasema kuwa ni tetesi basi acha tuamini kuwa ni tetesiManzoki ameshaongeza mkataba na timu yake mpaka 2025! Hizi ni tetesi tu lakini. Hivyo kama kweli simba inamtaka, basi italazimika kuvunja benki.
Je, Dr. Mo yuko tayari kwa hilo?
Nilikuwepo wapi tena mkurugenzi! Mimi nimesema ni tetesi tu. Hivyo usichukulie kwa uzito mkubwa.Ulikuepo wakati anaongeza huo mkataba?
Hakuna kitu kama hicho. Uliona na kusikia Clip yake ya jana?Nilikuwepo wapi tena mkurugenzi! Mimi nimesema ni tetesi tu. Hivyo usichukulie kwa uzito mkubwa.
YAANIKE SASANasikia muda wowote Mzungu 'Mserbia' anasainishwa na Kutangazwa badala ya Mchezaji ambaye wana Simba SC wote tunamtama, anajua Kufunga na tumemsubiria muda mrefu Ceaser Lobi Manzoki.
Naandaa sasa Nondo zangu za SIRI za Ndani kabisa juu ya yanayoendelea ndani ya Simba SC na yaliyopita hadi tumekosa Makombe yote muhimu na kufanya vibaya CAFCL na CAFCC.
Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara Gonzalez, Mjumbe Mulamu na Mwenyekiti Murtaza huyo Mzungu akisinya tu Simba SC jiandaeni Kisaikolojia kwani GENTAMYCINE nitaenda Kuyaanika Makubwa yenu na ya Hatari hapa hapa.
Mkitaka nipoe leo Manzoki asajiliwe!!!