Kahindi95
Member
- Mar 7, 2019
- 31
- 100
Kama M bet kukaa kifuani pekee wanalipa bil 26 kwa miaka 5, wastani wa bil 5 kila mwaka, Mo anatoa billion ngapi kila mwaka kulipia matangazo yake yaliyojaa kwenye jezi ya simba. Je, billion 20 zipo kwenye account ya Simba?
Je, pesa hizi zote zinaenda wapi? Kwanini hatuzioni kwenye usajiri zikifanya kazi inayotakiwa? Kwanini kila mchezaji tunayemtaka hatumpati? Tena tunazidiwa kete hadi na Utopolo?
Yaani Utopolo wanasajiri quality players kiasi kwamba hata wasipokuwepo key players bado huoni pengo? Sisi sasa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
Kwanini mwaka wa pili sasa tunasajiri kama sajiri za Yanga miaka ya zamani? Tunasajiri kwa kubahatisha kisa ubahili! Pesa zote hizo zinapelekwa wapi? Zipo au hazipo? Viongozi mnakazi gani hapo simba? Mdhamini anadhamini nini hapo Simba?
Mwaka jana kati ya wachezaji zaidi ya 10 waliosajiriwa ni 3 pekee walioingia kikosi cha kwanza (Kanoute, Inonga na Sakho). Mwaka huu kati ya wachezaji zaidi ya 8 waliosajiriwa ni 2 pekee wameingia kikosi cha kwanza (Phili na Okrah) nauliza tena are we serious?
Hizi pesa za klabu yetu mnapeleka wapi nyie viongozi? Yaani mnashindwa kumnunua striker kwa mil 400? Hivi kwa akili zenu za dunia ya sasa utampata wapi mshambuliaji classic kwa mill 100? Mwisho mnatusajiria wachezaji wa bei ya nyanya then mnakuja na porojo za Unstopable mnatuona wapumbavu sana eeh?
Pesa za udhamini na ufadhiri zimeenda wapi? Zinafanya nini? Kwa manufaa ya nani? Inamaana Simba sasa ni mali ya familia? Huyu Mo jukumu lake ni lipi hasa hapo simba? Nauliza tena bil 20 za hisa 49% zipo au hazipo? Ziko wapi? Mo analipa bei gani na kwa mkataba gani kuchafua jezi ya Simba kwa matangazo ya biashara zake?
Pesa zote hizo ukijumuisha na pesa za MBet zinatumikaje? Nani anaezimiliki? Kwanini tunakosa wachezaji wazuri kwa million 400 pekee then tunataka kushindana na Al ahly ni akili kweli au bangi?
Tuna sajiri wachezaji wa bei za maandazi akina Akpan na tunajiita Unstopable kweli? Hivi simba ni yakuzidiwa pesa na Yanga kwenye usajiri kweli?