Simba SC si wakati wa lawama ni wakati wa kujipanga Upya

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
Ni kweli inatuuma
Lakini mimi naona ni wakati wa mwalimu sasa kujenga timu anayoitaka kwa msimu mzima tutumie usajili wa dirisha dogo kuziba mapengo.
Kisha usajili mkubwa kuingeza mtu mmoja au wawili sio lundo la wachezaji

Hapaswi kulaumiwa yeyote Timu imecheza vizuri kila mchezaji kajituma
Kocha kafanya sub nzuri tu
Bahati haikuwa upandw wetu

WE ARE SIMBA
NGUVU MOJA
 
Ikiwa timu ilijipanga saana. Na ikawekeza sana. Na ikaridhia walichopanga Mazoezi nje ya nchi n.k. na uwekezaji mkubwa kuliko timu zote Afrika Mashariki na baada ya hapo wajipange tena???
Kwenye ligi kuu? Au Azam Confederation Cup? Au Mapinduzi Cup ???
Simba ipo njia panda yaaaani uwekezaji wote huu na mishahara mikubwa watoke raundi ya awali??
 
hivi unajua MO katumia sh ngapi kusajili kwa ajili ya klabu bingwa afrika? hela yake itarudi? muda si mrefu wachezaj wataanza kugoma kwa kucheleweshewa mishahara
Umeongea ukweli kabisa
Watu wanaongea tu kirahisi tujipange kwasababu hawajui gharama za kuendesha club.
Huwezi kumlipa mbrazili 15m ili aje acheze na Namungo fc
 
Umeongea ukweli kabisa
Watu wanaongea tu kirahisi tujipange kwasababu hawajui gharama za kuendesha club.
Huwezi kumlipa mbrazili 15m ili aje acheze na Namungo fc
simba wamempa hasara kubwa sana mo kwa kutolewa mapema huku bado ana mzigo wa kuihudumia timu mpaka mwisho wa msimu na ligi ndio hata haijaanza, tuone kitakachotokea
 
Umeongea ukweli kabisa
Watu wanaongea tu kirahisi tujipange kwasababu hawajui gharama za kuendesha club.
Huwezi kumlipa mbrazili 15m ili aje acheze na Namungo fc
Utafanyaje sasa imeshatokea utanunua ud songo au yanga ambao wapo kwenye club bingwa yule mfanya biashara hizi risk zilijulikana na zina probability yake yakutokea ..... Pia kuna changamoto ya kucheza vizuri ligi nzima iishe ili upate nafasi sina uakika na yanga kama wataperfom vizuri kias kwamba tupewe chance kama hii ipo ligi ile ya sportpesa tunaitaji kucheza na everton ipo ya azam cup ipo na tpl .....kama hukujua ndo ivyo kila kitu kina hasara zake na faida zake

Tuijenge simba
 
hivi unajua MO katumia sh ngapi kusajili kwa ajili ya klabu bingwa afrika? hela yake itarudi? muda si mrefu wachezaj wataanza kugoma kwa kucheleweshewa mishahara
Mishahara kitu gani Mchakato wa uanachama unaanza soon tutaingizia timu mabilioni ya kutosha
 
b
bro unazingua ujue ...uchebe uwezo wake umefika mwisho...
 
Mpira bado upo..kiroho safi shangilieni wananchi tarehe 12 September...tukiingia makundi na Azam pia..tunaendelea kuwa na timu nne..ila mkija msivae miguo yenu ya rangi nyekundu...hamtaingia uwanjani
 
simba wamempa hasara kubwa sana mo kwa kutolewa mapema huku bado ana mzigo wa kuihudumia timu mpaka mwisho wa msimu na ligi ndio hata haijaanza, tuone kitakachotokea
Lakini kwa upande mwengine imempunguzia gharama za kusafirisha na kuhudumia timu kuelekea kwenye mechi za kimataifa na hatimaye isifikie hatua iliyofikia mwaka jana. Maana kwa mtizamo wa jicho la tatu, Simba ile ingetolewa mapema hata kama ingefanikiwa kuitoa UD Songo.
 
simba walitegemea faida kupitia michuano hii kwa mapato ya uwanjani, kuuza jezi na kadi, fedha kutoka caf, wadhamini, kuuza wachezaji nje, gharama za usafiri ni ndogo mfano walivyoenda msumbiji wametumia sio zaidi ya milioni 100, wakati mapato ya uwanjani ni zaidi ya milioni 200, tayari hapo ni faida, sasa hivi mapato ya uwanjan yatapungua , hiyo ni hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…