SIMBA SC: Tangu tuanze kampeni ya kuchangia ujenzi wa uwanja tumekusanya Tsh Mil 60 hadi sasa

CARDLESS

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Posts
7,840
Reaction score
15,918
Klabu ya Simba kupitia mtendaji mkuu wake Bi Barbara Gonzalenz imesema tangu walipoanzisha utaratibu wa kuchangia ujenzi wa uwanja wa Klabu kuanzia mwezi wa 12 mwaka 2021 hadi Mwezi huu wamekusanya Milion 60 tu.

Karibuni wanaJF tujadiliane ukweli wa taarifa hii.
 
Hana tabu huyo
Tatizo TANZANIA USWAHILI mwingi
Inawezekana uko sahihi..lakini anangalia kila anaeondoka Simba kwa mizengwe lazima atamtaja Barbara kuwa katikati ya sakata, Morrison, Pablo, Manara haiweze kuwa bahati mbaya ni ama anatumia nafasi yake vibaya au anatumia ukaribu wake na Mo vibaya
 
1.manara urafiki wake na GSM umemponza.
2.morrison uchizi wake umemponza
3.pablo KIWANGO CHA TIMU KIMEMPONZA timu inacheza Kama Manchester United.
Aondoke tu tena kanikera Sana
Mechi ya yanga,NAMUNGO,na azam angeshinda angejiweka nafasi nzuri ya kutetea ubingwa.AMEVUNA ALICHOPANDA.
BARBARA ABAKI
Inawezekana uko sahihi..lakini anangalia kila anaeondoka Simba kwa mizengwe lazima atamtaja Barbara kuwa katikati ya sakata, Morrison, Pablo, Manara haiweze kuwa bahati mbaya ni ama anatumia nafasi yake vibaya au anatumia ukaribu wake na Mo vibaya
 
Ukinambia million 60 siwaelewi kabisa,

Maana Nakumbuka MO dewj ndo alikua mtu wa kwanza kabisa kuchangia uwanja, yeye pekee alichangia billion 2.

Hizo pesa zilikwenda wapi?[emoji848]
Mo aliahaidi kuwa atatoa 2b, hakusema atatoa lini, au atatoa yote, au kidogokidogo, hakuna mahali popote alisema ametoa.. elewa kilichosemwa!
 
Ukinambia million 60 siwaelewi kabisa,

Maana Nakumbuka MO dewj ndo alikua mtu wa kwanza kabisa kuchangia uwanja, yeye pekee alichangia billion 2.

Hizo pesa zilikwenda wapi?[emoji848]
Yeye atazitoa mwisho kwa Sasa toeni kwanza nyinyi
 
Kwenye hili swala la michango kuwa kidogo tusitafute Mchawi, maana kwenye swala la michango Watanzania tunajuana, kuanzia nyumba za ibada hadi kwenye harusi kazi huwa sio nyepesi.

Nadhani mnakumbuka zama za Yanga kutembeza bakuli hali ilivyokuwa tete, hadi wakawa wanakula kwa Mamalishe!!.

Kabla hujanyoosha kidole wewe ulichangia ngapi?
 
Inawezekana uko sahihi..lakini anangalia kila anaeondoka Simba kwa mizengwe lazima atamtaja Barbara kuwa katikati ya sakata, Morrison, Pablo, Manara haiweze kuwa bahati mbaya ni ama anatumia nafasi yake vibaya au anatumia ukaribu wake na Mo vibaya
Mpaka TFF wanamtaja barbra hilo nalo ulliongeze katika list yako

Morrison wote tunajua tabia yake, kupitia tabia ambayo tumeiona akiwa uwanjani unaweza kubaini mambo mengine anayo yafanya akiwa nje ya uwanja

Kulikuwa na tuhuma za kumhusisha kumchoma shabiki wa yanga na kitu chenye ncha kali. Bado unataka kutafuta justification ya kumuona barbra ni tatizo kwa morrison?

Pablo naye ana mapungufu yake anzia pale kwa wawa kipindi kile japo mimi nilikuwa upande wake, lakini yapo matuko mengine ambayo yanaonesha hawezi ku overcome anger na emotions ambapo inampelekea kufanya matukio ya ajabu ambayo yanaweza mshushia credit

Manara, huyu sijui tuanzie mwaka 2010 kabla hata hajaja simba wakati ni katibu mwenezi wa UVCCM alipofurumushwa kwenye hicho kiti baada ya skendo ya wizi wa magari au tujadiri kuhusu tabia yake ya kuongea uongo kuwa ametumwa na familia ya MO kuongelea swala la kupotea kwa MO

Niambie kati ya hao walioonesha kukosana na barbra ni nani ambaye hajawahi kuwa na misunderstanding nje ya simba au na mtu yeyote binafsi?
 
Ukinambia million 60 siwaelewi kabisa,

Maana Nakumbuka MO dewj ndo alikua mtu wa kwanza kabisa kuchangia uwanja, yeye pekee alichangia billion 2.

Hizo pesa zilikwenda wapi?[emoji848]
Milion 60 wakimaanisha pesa walizochanga mashabiki
 
Mpaka TFF wanamtaja barbra hilo nalo ulliongeze katika list yako

Morrison wote tunajua tabia yake, kupitia tabia ambayo tumeiona akiwa uwanjani unaweza kubaini mambo mengine anayo yafanya akiwa nje ya uwanja

Kulikuwa na tuhuma za kumhusisha kumchoma shabiki wa yanga na kitu chenye ncha kali. Bado unataka kutafuta justification ya kumuona barbra ni tatizo kwa morrison?

Pablo naye ana mapungufu yake anzia pale kwa wawa kipindi kile japo mimi nilikuwa upande wake, lakini yapo matuko mengine ambayo yanaonesha hawezi ku overcome anger na emotions ambapo inampelekea kufanya matukio ya ajabu ambayo yanaweza mshushia credit

Manara, huyu sijui tuanzie mwaka 2010 kabla hata hajaja simba wakati ni katibu mwenezi wa UVCCM alipofurumushwa kwenye hicho kiti baada ya skendo ya wizi wa magari au tujadiri kuhusu tabia yake ya kuongea uongo kuwa ametumwa na familia ya MO kuongelea swala la kupotea kwa MO

Niambie kati ya hao walioonesha kukosana na barbra ni nani ambaye hajawahi kuwa na misunderstanding nje ya simba au na mtu yeyote binafsi?
Na sio Tff wanamsema vibaya Barbra ila ni Karia ndio ana bifu zito na CEO baada ya kugomea lile dili la kishenzi la GSM, wakati huo Karia keshakula advance na kawahakikishia kabisa GSM kwamba hakuna timu itakayochomoa, ghafla upepo ukamgeuka akakutana na mwanadada kisiki akasema hatuvai hiyo nembo yenu, na wakti huo mkumbuke kwamba lengo kubwa la GSM alikuwa anaitaka Simba, sasa Msomali atairudishaje hiyo hela maaaaaaamae zake, hicho ndio chanzo cha kumchukia Barbra
 
Watu wengi ambao wanataka kuiona simba ikivurugika haraka ni kuona barbra anaondoka

Sijaona hata mmoja ambaye ana husishwa na kugombana na barbra halafu akawa hana skandal ya ugomvi nje ya barba au simba kabisa
 
Back
Top Bottom