Kilembwe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,058
- 1,609
Mkuu bado najivuta kwanza nione ongezeko baada ya JulyWe ulichangia bei gani mwamba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bado najivuta kwanza nione ongezeko baada ya JulyWe ulichangia bei gani mwamba?
tozo mkuu🤣😂🤣😂Ukinambia million 60 siwaelewi kabisa,
Maana Nakumbuka MO dewj ndo alikua mtu wa kwanza kabisa kuchangia uwanja, yeye pekee alichangia billion 2.
Hizo pesa zilikwenda wapi?[emoji848]
Ukiingia kwenye app or website ya simba wanaonesha mapato ya hiyo kampeni kwa njia ya graph in mobile networks bars... Sasa sawa ni transparency ila tunataka kujua goal limitation ni range ya mda gani either kama ni long term tujue na pia kama ni short term tujue Ni mpka lin wanakuwa wamekamilisha ili wakija kutoka mrejesho kunakuwa na results mbili kwamba for campaign ambayo wameestablishi, wamefanikiwa kiasi gani na wamefeli kiasi gani kutokana na time horizon walioweka, mm nahisi walikurupuka badala ya CEO labda kubeviolated kwenye ile game la sioni mpango mkakati naona pesa zinazagaa tuna kutangazwa kama ela za rambirambiKlabu ya Simba kupitia mtendaji mkuu wake Bi Barbara Gonzalenz imesema tangu walipoanzisha utaratibu wa kuchangia ujenzi wa uwanja wa Klabu kuanzia mwezi wa 12 mwaka 2021 hadi Mwezi huu wamekusanya Milion 60 tu.
Karibuni wanaJF tujadiliane ukweli wa taarifa hii.
Kwel kabisa watu wanataka taasisi iende vile wanavyoendesha familia zao, na ndio kilimshinda senzoHana tabu huyo
Tatizo TANZANIA USWAHILI mwingi
Mhindi si alisema yeye kaanzisha mchango kwa 2billion au alikuwa anafurahisha genge.Klabu ya Simba kupitia mtendaji mkuu wake Bi Barbara Gonzalenz imesema tangu walipoanzisha utaratibu wa kuchangia ujenzi wa uwanja wa Klabu kuanzia mwezi wa 12 mwaka 2021 hadi Mwezi huu wamekusanya Milion 60 tu.
Karibuni wanaJF tujadiliane ukweli wa taarifa hii.
Basi usihoji chochote kuhusu kilichokusanywa.Mkuu bado najivuta kwanza nione ongezeko baada ya July
Yanga haijawahi na haitakuja kula Mama ntilie. Simba ndiyo Wana Historia hiyo refer Chapati za Kaduguda.Kwenye hili swala la michango kuwa kidogo tusitafute Mchawi, maana kwenye swala la michango Watanzania tunajuana, kuanzia nyumba za ibada hadi kwenye harusi kazi huwa sio nyepesi.
Nadhani mnakumbuka zama za Yanga kutembeza bakuli hali ilivyokuwa tete, hadi wakawa wanakula kwa Mamalishe!!.
Kabla hujanyoosha kidole wewe ulichangia ngapi?
Kama umesoma nilichoandika hakuna sehemu nimehoji kilichokusanywa....usikurupuke tu!Basi usihoji chochote kuhusu kilichokusanywa.
Wote hao uliowataja wana matatizo yao , yule dada anasimamia misingi iliyowekwa kuiongoza klabu.Inawezekana uko sahihi..lakini anangalia kila anaeondoka Simba kwa mizengwe lazima atamtaja Barbara kuwa katikati ya sakata, Morrison, Pablo, Manara haiweze kuwa bahati mbaya ni ama anatumia nafasi yake vibaya au anatumia ukaribu wake na Mo vibaya
Unauhakika Kama kweli aliziweka ktk akaunt husika ?Ukinambia million 60 siwaelewi kabisa,
Maana Nakumbuka MO dewj ndo alikua mtu wa kwanza kabisa kuchangia uwanja, yeye pekee alichangia billion 2.
Hizo pesa zilikwenda wapi?[emoji848]
Umesahau labda. Siku mwinyi zahera anakuja kumkomboa Yule kipa wenu mkongo Kindoki kwa mamantilie pale kamanga feli Mwanza kutokana na msosi wa buku mbili na nusu aliokula kwa huyo mamantilie umesahau?Yanga haijawahi na haitakuja kula Mama ntilie. Simba ndiyo Wana Historia hiyo refer Chapati za Kaduguda.
uwanja utajengwa kwa awamu ngapi?Klabu ya Simba kupitia mtendaji mkuu wake Bi Barbara Gonzalenz imesema tangu walipoanzisha utaratibu wa kuchangia ujenzi wa uwanja wa Klabu kuanzia mwezi wa 12 mwaka 2021 hadi Mwezi huu wamekusanya Milion 60 tu.
Karibuni wanaJF tujadiliane ukweli wa taarifa hii.
unaeza kuta hata mleta uzi hajachangaKama hamtoi hela zitaongezeka vipi?
Nyumba ndogo mubashara ya Moh...Inawezekana uko sahihi..lakini anangalia kila anaeondoka Simba kwa mizengwe lazima atamtaja Barbara kuwa katikati ya sakata, Morrison, Pablo, Manara haiweze kuwa bahati mbaya ni ama anatumia nafasi yake vibaya au anatumia ukaribu wake na Mo vibaya