SIMBA SC: Tangu tuanze kampeni ya kuchangia ujenzi wa uwanja tumekusanya Tsh Mil 60 hadi sasa

SIMBA SC: Tangu tuanze kampeni ya kuchangia ujenzi wa uwanja tumekusanya Tsh Mil 60 hadi sasa

Ukinambia million 60 siwaelewi kabisa,

Maana Nakumbuka MO dewj ndo alikua mtu wa kwanza kabisa kuchangia uwanja, yeye pekee alichangia billion 2.

Hizo pesa zilikwenda wapi?[emoji848]
tozo mkuu🤣😂🤣😂
 
Klabu ya Simba kupitia mtendaji mkuu wake Bi Barbara Gonzalenz imesema tangu walipoanzisha utaratibu wa kuchangia ujenzi wa uwanja wa Klabu kuanzia mwezi wa 12 mwaka 2021 hadi Mwezi huu wamekusanya Milion 60 tu.

Karibuni wanaJF tujadiliane ukweli wa taarifa hii.
Ukiingia kwenye app or website ya simba wanaonesha mapato ya hiyo kampeni kwa njia ya graph in mobile networks bars... Sasa sawa ni transparency ila tunataka kujua goal limitation ni range ya mda gani either kama ni long term tujue na pia kama ni short term tujue Ni mpka lin wanakuwa wamekamilisha ili wakija kutoka mrejesho kunakuwa na results mbili kwamba for campaign ambayo wameestablishi, wamefanikiwa kiasi gani na wamefeli kiasi gani kutokana na time horizon walioweka, mm nahisi walikurupuka badala ya CEO labda kubeviolated kwenye ile game la sioni mpango mkakati naona pesa zinazagaa tuna kutangazwa kama ela za rambirambi
 
Klabu ya Simba kupitia mtendaji mkuu wake Bi Barbara Gonzalenz imesema tangu walipoanzisha utaratibu wa kuchangia ujenzi wa uwanja wa Klabu kuanzia mwezi wa 12 mwaka 2021 hadi Mwezi huu wamekusanya Milion 60 tu.

Karibuni wanaJF tujadiliane ukweli wa taarifa hii.
Mhindi si alisema yeye kaanzisha mchango kwa 2billion au alikuwa anafurahisha genge.
 
Kwenye hili swala la michango kuwa kidogo tusitafute Mchawi, maana kwenye swala la michango Watanzania tunajuana, kuanzia nyumba za ibada hadi kwenye harusi kazi huwa sio nyepesi.

Nadhani mnakumbuka zama za Yanga kutembeza bakuli hali ilivyokuwa tete, hadi wakawa wanakula kwa Mamalishe!!.

Kabla hujanyoosha kidole wewe ulichangia ngapi?
Yanga haijawahi na haitakuja kula Mama ntilie. Simba ndiyo Wana Historia hiyo refer Chapati za Kaduguda.
 
Inawezekana uko sahihi..lakini anangalia kila anaeondoka Simba kwa mizengwe lazima atamtaja Barbara kuwa katikati ya sakata, Morrison, Pablo, Manara haiweze kuwa bahati mbaya ni ama anatumia nafasi yake vibaya au anatumia ukaribu wake na Mo vibaya
Wote hao uliowataja wana matatizo yao , yule dada anasimamia misingi iliyowekwa kuiongoza klabu.

Hakuna uswahili Swahili uliozoeleka.
 
Ukinambia million 60 siwaelewi kabisa,

Maana Nakumbuka MO dewj ndo alikua mtu wa kwanza kabisa kuchangia uwanja, yeye pekee alichangia billion 2.

Hizo pesa zilikwenda wapi?[emoji848]
Unauhakika Kama kweli aliziweka ktk akaunt husika ?
 
Yanga haijawahi na haitakuja kula Mama ntilie. Simba ndiyo Wana Historia hiyo refer Chapati za Kaduguda.
Umesahau labda. Siku mwinyi zahera anakuja kumkomboa Yule kipa wenu mkongo Kindoki kwa mamantilie pale kamanga feli Mwanza kutokana na msosi wa buku mbili na nusu aliokula kwa huyo mamantilie umesahau?
 
Pesa hamtoi mnabaki kushamgaa na kilalamika tu
 
Ila simba wanafaa kuitwa kolo.

Na hii ndiyo mudi alisema ni level za kina mamelodi
 
Klabu ya Simba kupitia mtendaji mkuu wake Bi Barbara Gonzalenz imesema tangu walipoanzisha utaratibu wa kuchangia ujenzi wa uwanja wa Klabu kuanzia mwezi wa 12 mwaka 2021 hadi Mwezi huu wamekusanya Milion 60 tu.

Karibuni wanaJF tujadiliane ukweli wa taarifa hii.
uwanja utajengwa kwa awamu ngapi?
jezi za simba zimejaa matangazo ya mo huyu mo anailipa simba shilingi ngapi?
je ni sehemu ya ile 20 bl
 
Inawezekana uko sahihi..lakini anangalia kila anaeondoka Simba kwa mizengwe lazima atamtaja Barbara kuwa katikati ya sakata, Morrison, Pablo, Manara haiweze kuwa bahati mbaya ni ama anatumia nafasi yake vibaya au anatumia ukaribu wake na Mo vibaya
Nyumba ndogo mubashara ya Moh...
 
Back
Top Bottom