Huyu Barbara atawagharimu sana Simba.....
Inawezekana uko sahihi..lakini anangalia kila anaeondoka Simba kwa mizengwe lazima atamtaja Barbara kuwa katikati ya sakata, Morrison, Pablo, Manara haiweze kuwa bahati mbaya ni ama anatumia nafasi yake vibaya au anatumia ukaribu wake na Mo vibayaHana tabu huyo
Tatizo TANZANIA USWAHILI mwingi
Inawezekana uko sahihi..lakini anangalia kila anaeondoka Simba kwa mizengwe lazima atamtaja Barbara kuwa katikati ya sakata, Morrison, Pablo, Manara haiweze kuwa bahati mbaya ni ama anatumia nafasi yake vibaya au anatumia ukaribu wake na Mo vibaya
Mo aliahaidi kuwa atatoa 2b, hakusema atatoa lini, au atatoa yote, au kidogokidogo, hakuna mahali popote alisema ametoa.. elewa kilichosemwa!Ukinambia million 60 siwaelewi kabisa,
Maana Nakumbuka MO dewj ndo alikua mtu wa kwanza kabisa kuchangia uwanja, yeye pekee alichangia billion 2.
Hizo pesa zilikwenda wapi?[emoji848]
Nyie ndo huwa mnakufa kwa nongwa..!Huyu Barbara atawagharimu sana Simba.....
We ulichangia bei gani mwamba?Huyu Barbara atawagharimu sana Simba.....
Yeye atazitoa mwisho kwa Sasa toeni kwanza nyinyiUkinambia million 60 siwaelewi kabisa,
Maana Nakumbuka MO dewj ndo alikua mtu wa kwanza kabisa kuchangia uwanja, yeye pekee alichangia billion 2.
Hizo pesa zilikwenda wapi?[emoji848]
Mpaka TFF wanamtaja barbra hilo nalo ulliongeze katika list yakoInawezekana uko sahihi..lakini anangalia kila anaeondoka Simba kwa mizengwe lazima atamtaja Barbara kuwa katikati ya sakata, Morrison, Pablo, Manara haiweze kuwa bahati mbaya ni ama anatumia nafasi yake vibaya au anatumia ukaribu wake na Mo vibaya
Milion 60 wakimaanisha pesa walizochanga mashabikiUkinambia million 60 siwaelewi kabisa,
Maana Nakumbuka MO dewj ndo alikua mtu wa kwanza kabisa kuchangia uwanja, yeye pekee alichangia billion 2.
Hizo pesa zilikwenda wapi?[emoji848]
Hata zile billion 20 alisema hivi hiviYeye atazitoa mwisho kwa Sasa toeni kwanza nyinyi
Na sio Tff wanamsema vibaya Barbra ila ni Karia ndio ana bifu zito na CEO baada ya kugomea lile dili la kishenzi la GSM, wakati huo Karia keshakula advance na kawahakikishia kabisa GSM kwamba hakuna timu itakayochomoa, ghafla upepo ukamgeuka akakutana na mwanadada kisiki akasema hatuvai hiyo nembo yenu, na wakti huo mkumbuke kwamba lengo kubwa la GSM alikuwa anaitaka Simba, sasa Msomali atairudishaje hiyo hela maaaaaaamae zake, hicho ndio chanzo cha kumchukia BarbraMpaka TFF wanamtaja barbra hilo nalo ulliongeze katika list yako
Morrison wote tunajua tabia yake, kupitia tabia ambayo tumeiona akiwa uwanjani unaweza kubaini mambo mengine anayo yafanya akiwa nje ya uwanja
Kulikuwa na tuhuma za kumhusisha kumchoma shabiki wa yanga na kitu chenye ncha kali. Bado unataka kutafuta justification ya kumuona barbra ni tatizo kwa morrison?
Pablo naye ana mapungufu yake anzia pale kwa wawa kipindi kile japo mimi nilikuwa upande wake, lakini yapo matuko mengine ambayo yanaonesha hawezi ku overcome anger na emotions ambapo inampelekea kufanya matukio ya ajabu ambayo yanaweza mshushia credit
Manara, huyu sijui tuanzie mwaka 2010 kabla hata hajaja simba wakati ni katibu mwenezi wa UVCCM alipofurumushwa kwenye hicho kiti baada ya skendo ya wizi wa magari au tujadiri kuhusu tabia yake ya kuongea uongo kuwa ametumwa na familia ya MO kuongelea swala la kupotea kwa MO
Niambie kati ya hao walioonesha kukosana na barbra ni nani ambaye hajawahi kuwa na misunderstanding nje ya simba au na mtu yeyote binafsi?
Watu wengi ambao wanataka kuiona simba ikivurugika haraka ni kuona barbra anaondokaNa sio Tff wanamsema vibaya Barbra ila ni Karia ndio ana bifu zito na CEO baada ya kugomea lile dili la kishenzi la GSM, wakati huo Karia keshakula advance na kawahakikishia kabisa GSM kwamba hakuna timu itakayochomoa, ghafla upepo ukamgeuka akakutana na mwanadada kisiki akasema hatuvai hiyo nembo yenu, na wakti huo mkumbuke kwamba lengo kubwa la GSM alikuwa anaitaka Simba, sasa Msomali atairudishaje hiyo hela maaaaaaamae zake, hicho ndio chanzo cha kumchukia Barbra