SIMBA SC: Tangu tuanze kampeni ya kuchangia ujenzi wa uwanja tumekusanya Tsh Mil 60 hadi sasa

Ukinambia million 60 siwaelewi kabisa,

Maana Nakumbuka MO dewj ndo alikua mtu wa kwanza kabisa kuchangia uwanja, yeye pekee alichangia billion 2.

Hizo pesa zilikwenda wapi?[emoji848]
tozo mkuu🤣😂🤣😂
 
Ukiingia kwenye app or website ya simba wanaonesha mapato ya hiyo kampeni kwa njia ya graph in mobile networks bars... Sasa sawa ni transparency ila tunataka kujua goal limitation ni range ya mda gani either kama ni long term tujue na pia kama ni short term tujue Ni mpka lin wanakuwa wamekamilisha ili wakija kutoka mrejesho kunakuwa na results mbili kwamba for campaign ambayo wameestablishi, wamefanikiwa kiasi gani na wamefeli kiasi gani kutokana na time horizon walioweka, mm nahisi walikurupuka badala ya CEO labda kubeviolated kwenye ile game la sioni mpango mkakati naona pesa zinazagaa tuna kutangazwa kama ela za rambirambi
 
Mhindi si alisema yeye kaanzisha mchango kwa 2billion au alikuwa anafurahisha genge.
 
Yanga haijawahi na haitakuja kula Mama ntilie. Simba ndiyo Wana Historia hiyo refer Chapati za Kaduguda.
 
Inawezekana uko sahihi..lakini anangalia kila anaeondoka Simba kwa mizengwe lazima atamtaja Barbara kuwa katikati ya sakata, Morrison, Pablo, Manara haiweze kuwa bahati mbaya ni ama anatumia nafasi yake vibaya au anatumia ukaribu wake na Mo vibaya
Wote hao uliowataja wana matatizo yao , yule dada anasimamia misingi iliyowekwa kuiongoza klabu.

Hakuna uswahili Swahili uliozoeleka.
 
Ukinambia million 60 siwaelewi kabisa,

Maana Nakumbuka MO dewj ndo alikua mtu wa kwanza kabisa kuchangia uwanja, yeye pekee alichangia billion 2.

Hizo pesa zilikwenda wapi?[emoji848]
Unauhakika Kama kweli aliziweka ktk akaunt husika ?
 
Yanga haijawahi na haitakuja kula Mama ntilie. Simba ndiyo Wana Historia hiyo refer Chapati za Kaduguda.
Umesahau labda. Siku mwinyi zahera anakuja kumkomboa Yule kipa wenu mkongo Kindoki kwa mamantilie pale kamanga feli Mwanza kutokana na msosi wa buku mbili na nusu aliokula kwa huyo mamantilie umesahau?
 
Pesa hamtoi mnabaki kushamgaa na kilalamika tu
 
Ila simba wanafaa kuitwa kolo.

Na hii ndiyo mudi alisema ni level za kina mamelodi
 
uwanja utajengwa kwa awamu ngapi?
jezi za simba zimejaa matangazo ya mo huyu mo anailipa simba shilingi ngapi?
je ni sehemu ya ile 20 bl
 
Inawezekana uko sahihi..lakini anangalia kila anaeondoka Simba kwa mizengwe lazima atamtaja Barbara kuwa katikati ya sakata, Morrison, Pablo, Manara haiweze kuwa bahati mbaya ni ama anatumia nafasi yake vibaya au anatumia ukaribu wake na Mo vibaya
Nyumba ndogo mubashara ya Moh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…