Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Aliahidi kuchangia, sasa hatujui ni lini atachanga, inawezekana labda miaka 50 ijayo akatoa hizo bilioni 2.Unauhakika Kama kweli aliziweka ktk akaunt husika ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliahidi kuchangia, sasa hatujui ni lini atachanga, inawezekana labda miaka 50 ijayo akatoa hizo bilioni 2.Unauhakika Kama kweli aliziweka ktk akaunt husika ?
Unatafuta matusi🤣🤣Ukinambia million 60 siwaelewi kabisa,
Maana Nakumbuka MO dewj ndo alikua mtu wa kwanza kabisa kuchangia uwanja, yeye pekee alichangia billion 2.
Hizo pesa zilikwenda wapi?[emoji848]
Hii inatosha kusafisha eneo ambalo unatakiwa uwanja ujengwe🤣🤣🤣🤣 wabongo like serious 60 million aise mie kama ningekuwa mo wala sitoi hela yanguMilion 60 wakimaanisha pesa walizochanga mashabiki
Kama vipi lete huo ushaidi wa Kindoki nami nilete ushaidi wa Kaduguda akilalamikia hela zake za chapati alizowanunulia wachezaji wa Simba kipindi kilee, shida yenu mnajisahaulisha.Umesahau labda. Siku mwinyi zahera anakuja kumkomboa Yule kipa wenu mkongo Kindoki kwa mamantilie pale kamanga feli Mwanza kutokana na msosi wa buku mbili na nusu aliokula kwa huyo mamantilie umesahau?
Kwel kabisa watu wanataka taasisi iende vile wanavyoendesha familia zao, na ndio kilimshinda senzo
unaeza kuta hata mleta uzi hajachanga