OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
NdiyoYule kocha wa Viper,ndio huyu?
wanadharau makocha wa ndani, Mgunda kakosea wapi? Badala ya kusajili wachezaji tunasajili kochaNa Mgunda Jee?
Mwanetu Matola amechinjiwa baharini?- Simba inamtangaza muda huu aliyekuwa kocha wa Vipers SC, kama kocha wao mkuu mpya mpaka mwaka 2025 sambamba na Juma Mgunda ambaye atakuwa ni msaidizi wake...
Watu wanapambania 10% zao . udalali nao umekuwa mwingi sana Kwenye usajili wa makocha na wachezajiNa Mgunda Jee?
Unamaana gan kusema tunamdharau?, wewe na nan mnaomdharau? Timu kupata kocha mkuu ni kumdharau kaimu kocha mkuu?Kwanini tunamdharau Mgunda? Kaikuta timu katikati ya Ligi kaipeleka mpaka makundi ya CAF viongozi wetu wapuuzi sana
Mchawi pesa.Yaaan Timu zetu hizi kubwa bila kuwa na makocha weupe wanaona bado kabisa..
Mgunda nawe amsha tafuta Timu chap, usibaki hapo kama msaidizi
Tuna kasumba ya kuwaamini zaidi wageni kuliko wazawa. Ila ki takwimu Mgunda alikuwa ni kocha aliyefanya vizuri mpaka sasa kwanzia klabu bingwa hadi ligi kuu, Pamoja na kuwa na wachezaji ambao hawana consistency.wanadharau makocha wa ndani, Mgunda kakosea wapi? Badala ya kusajili wachezaji tunasajili kocha