Simba Sc tumemsajili kiungo wa Ivory Coast, Ahoua Jean

Simba Sc tumemsajili kiungo wa Ivory Coast, Ahoua Jean

Nawaona wachezaji wanaosajiliwa, wanatambulishwa kwa mbwembwe, bashasha lakini kiukweli naona kama utani tu.

Hakuna hata mchezaji mmoja mwenye kaliba ya Triple C.

Nacheka lakini Naogopa.
Tumeshakuambia..mfuaye huko alikoenda
 
Nawaona wachezaji wanaosajiliwa, wanatambulishwa kwa mbwembwe, bashasha lakini kiukweli naona kama utani tu.

Hakuna hata mchezaji mmoja mwenye kaliba ya Triple C.

Nacheka lakini Naogopa.

Mkuu unataka kujenga timu au unamtaka Chama Mpya?

Kama unamtaka Chama basi tukuambie huwezi pata mchezaji aina ya Chama. Pole.

Kama unataka kujenga timu, unataka timu bora. Karibu sana Msimbazi.

N.B. Chama bado ni mchezaji mzuri, i mean anavumilika kwa kiwango chake. Ila katika maamuzi bora Simba waliwahi kuyafanya basi ni hii kuachana na Chama. Pongezi kwao. [emoji122]
 
Nawaona wachezaji wanaosajiliwa, wanatambulishwa kwa mbwembwe, bashasha lakini kiukweli naona kama utani tu.

Hakuna hata mchezaji mmoja mwenye kaliba ya Triple C.

Nacheka lakini Naogopa.
Mimi ni shabiki wa Young Africans. Ila ninatofautiana na wewe katika hili. Safari hii tukubali tu Simba wanajitahidi kufanya usajili mzuri.
 
Kwa vyovyote iwavyo napenda niwakumbushe wanazi wa Simba kuwa MWAKA JANA WAKATI WA USAJILI TULIAMINISHWA KWA MBWEMBWE SANA YA KUWA SIMBA IMESAJILI KIKOSI KIKALI SANA. Nadhani wote mnakumbuka vibe lilivyokuwa na ukichanganya na msemaji wa Simba alivyokuwa anawapamba wachezaji wanaosajiliwa

Tutunze akiba ya maneno. Hopes zilikuwa juu mno mwanzo wa msimu uliopita kwa wanazi wa Simba na matokeo yake tuliyaona
Nadhani next season mjiandae kisaikologia kwamba mnatengeneza timu,mkibahatika kikombe iwe bonus tu, kwasababu wachezaji wageni wanaweza kuingia na kuuwasha moto vizuri tu au wakaanza kuzoea gradually, kumbuka na kocha anakuja mgeni,msijipe hopes nyingi inabidi mrelax tu kwasababu timu, tofauti na hapo mtakuwa hamuuheshimu mpira Kalpana na hili pia take note
 
Wachawi bhana..eti nacheka..washabiki wanaishabikia timu yenye rangi ya mavi yaaani njano na kijani,lazima mpinge kila kitu kinackofanywa na Simba,hatutegemei muongee mazuri kwa Simba mtabaki mkicheka kichawi tu.

Yanga ni kikundi cha wachawi na majini.
Aisee mtani una uchungu sana, pole sana Simba yako mdebwedo imekuangusha pakubwa mno na sasa inajiandaa kucheza kombe la loosers bega kwa bega na coastal union iliyo nayo sawa kwa kiwango ila kwa usajili wa Chama na Dube ni wazi kipigo kutoka Jangwani kitaendelea kushushwa kolokoloni msimu mpya na ni wazi utapata hasira times two!!

Inaumiza sana kuchapwa 7-2 ndani nje na kugawa points 6 zilizowapa uto ubingwa!!
 
Back
Top Bottom