Nikuweke sawa tunimesema sisi ndani ya miaka 5 tumebeba 4 mfululizo. Nyie mapunguwan enzi za teja manji mlibeba 3 ndani ya miaka mitano na azam 1. Sasa wewe chura wa pale jangwani hujui simba alibeba mara 6 mfululizo kwa miaka hiyo unayodai wewe!? UTOPOX JUHA MKUBWA.
sasa azam ni yanga? Mbona mnakaza shingo enyi utopox?? TUPO TUNASUBIRI MTOLEWE MATCH ZA AWALI MJUE FAIDA YA KUNUNUA MATCH.Nikuweke sawa tu
Ubingwa ulifuatana kama ivi
Yanga
Azam
Yanga
Yanga
Yanga
Hapo Simba kakaa misimu Mitano Katoka kapa
Ikafuata
Simba
Simba
Simba
Simba
Hapo Yanga amekaa misimhe
Andiko linhekuwa Bora kama angeandika ukweli mtupu bila Kuweka uongo wa Bodi ya ligi kuihujumu Simba msimu huu. Huo ni uongo Wenye lengo la kutafuta kichaka cha kujificha. Kwa Wachezaji gani Simba inhejigamba kuwa Bora msimu huu Hadi ihujumiwe? Ni wapi ilihujumiwa msimu huu?Andiko bora kabisa hili
Kwani wewe shida yako hapo nin ?? Si tunazungumzia nan kasota muda mrefu ama ??sasa azam ni yanga? Mbona mnakaza shingo enyi utopox?? TUPO TUNASUBIRI MTOLEWE MATCH ZA AWALI MJUE FAIDA YA KUNUNUA MATCH.
Ndugu yangu goli la Feisal limekuchoma sana hadi ndani ya moyo,simba tulisota miaka 5 utopolo mkachukua mara 3 na azam mara 1. Utopox mmesota miaka 5 wanaume tumebeba mara 4 zote huku tukitamba huko africa.
UTOPWINYO TUNASUBIRI AIBU KWA TAIFA ILA KWA KUWA MTETEZI SIMBA YU HAI WALA HATUTAWAZINGATIA SANA VYURA UTOPOLO KUBWA JINGA SHWAIN.