Nikuweke sawa tunimesema sisi ndani ya miaka 5 tumebeba 4 mfululizo. Nyie mapunguwan enzi za teja manji mlibeba 3 ndani ya miaka mitano na azam 1. Sasa wewe chura wa pale jangwani hujui simba alibeba mara 6 mfululizo kwa miaka hiyo unayodai wewe!? UTOPOX JUHA MKUBWA.
Ubingwa ulifuatana kama ivi
Yanga
Azam
Yanga
Yanga
Yanga
Hapo Simba kakaa misimu Mitano Katoka kapa
Ikafuata
Simba
Simba
Simba
Simba
Hapo Yanga amekaa misimhe