Simba SC Tusimkufuru Mungu

Simba SC Tusimkufuru Mungu

nimesema sisi ndani ya miaka 5 tumebeba 4 mfululizo. Nyie mapunguwan enzi za teja manji mlibeba 3 ndani ya miaka mitano na azam 1. Sasa wewe chura wa pale jangwani hujui simba alibeba mara 6 mfululizo kwa miaka hiyo unayodai wewe!? UTOPOX JUHA MKUBWA.
Nikuweke sawa tu

Ubingwa ulifuatana kama ivi

Yanga
Azam
Yanga
Yanga
Yanga

Hapo Simba kakaa misimu Mitano Katoka kapa

Ikafuata
Simba
Simba
Simba
Simba

Hapo Yanga amekaa misimhe
 
Nikuweke sawa tu

Ubingwa ulifuatana kama ivi

Yanga
Azam
Yanga
Yanga
Yanga

Hapo Simba kakaa misimu Mitano Katoka kapa

Ikafuata
Simba
Simba
Simba
Simba

Hapo Yanga amekaa misimhe
sasa azam ni yanga? Mbona mnakaza shingo enyi utopox?? TUPO TUNASUBIRI MTOLEWE MATCH ZA AWALI MJUE FAIDA YA KUNUNUA MATCH.
 
Andiko bora kabisa hili
Andiko linhekuwa Bora kama angeandika ukweli mtupu bila Kuweka uongo wa Bodi ya ligi kuihujumu Simba msimu huu. Huo ni uongo Wenye lengo la kutafuta kichaka cha kujificha. Kwa Wachezaji gani Simba inhejigamba kuwa Bora msimu huu Hadi ihujumiwe? Ni wapi ilihujumiwa msimu huu?
Mbeya?
Manungu Morogoro?
Kaitaba Bukoba?
Arusha Vs Polisi?
Au wapi huko?
Ni juzi kwenye Nusu fainali?
Sisi tusio na upande kwenye ushabiki wa Simba na Yanga tunakubaliana na maoni yako mengine lakini hili la kusingizia hujuma umefeli. Tena umefeli Kwa kiwango kikubwa Sana na wanaokuelewa Kwa Hilo ni wale unaofanana nao mawazo. Huna tofauti na Yanga baadhi waliokuwa wanasingizia viporo vya Mechi za Simba kuwa ndo sababu ya ubingwa wa Yanga.
Kubali Simba haina kikosi cha kushindania kombe msimu huu, ijipange upya, msimu ujao mna nafasi ya kuwa Bora tena.
Acheni longolongo mtasababisha mfadhili aone tatizo siyo Wachezaji Bali ni Bodi ya Ligi hivyo ataacha kusajili Wachezaji Bora akijua waliopo wanatosha.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
simba tulisota miaka 5 utopolo mkachukua mara 3 na azam mara 1. Utopox mmesota miaka 5 wanaume tumebeba mara 4 zote huku tukitamba huko africa.

UTOPWINYO TUNASUBIRI AIBU KWA TAIFA ILA KWA KUWA MTETEZI SIMBA YU HAI WALA HATUTAWAZINGATIA SANA VYURA UTOPOLO KUBWA JINGA SHWAIN.
Ndugu yangu goli la Feisal limekuchoma sana hadi ndani ya moyo,

unahitaji drip haraka au ukalazwe kabisa usije kutufia bure kwa presha za kujitakia.

Yanga imekupasueni kubalini hamuiwezi mwaka huu hakuna cha kubalansi wala nini mpira wa Nabi wote tunaangalia Azam TV unaonekana mmebakia kuhangaika kuvaa hereni tu uwanjani hamna jipya
 
Back
Top Bottom