Simba SC Uwezekano wa Kutolewa upo

Simba SC Uwezekano wa Kutolewa upo

Wala sio kujisahau.viwanja vya ugenini vigumu.
Uliwaona kaiza chiefs walivyokuja kucheza na Simba wakafungwa goli 3-0?
Ukiwa nyumbani kuna mambo mengi.
Usije ukashangaa Simba walipigwa misumali huko.
Mimi Wala swalaumu simba
Sijui ni kujisahau sijui ni nini mbona kuna wakati wanakuwa vizuri
 
Bado mnaiman za misumari ?
 
Acha mtokewa mnk mna misifa na midadi yasiuo na tija acha mtolewe tu na atakae watoa ndio atakaenda kucheza fainali mnakukbuka kaizer Chief

Hawana kikosi cha kucheza fainali
 
Nafasi nyingi zinatengenezwa, lakini ni nani mfungaji ? Kagere kwanza ana lose control, hajui kuji position na mara nyingi ana pishana na mipira, naelewa kwa nn Gomezi hakuwa anampanga.

Bocco nae anazingua lakini uzuri wa Bocco ni anauwezo wa kutengenezea watu nafasi.

Kagere ni mzuri for Nothing
 
Tuwe wakweli Simba inahitaji maboresho mengi sana, kwanza kocha nahisi bado soka la Africa kwake gumu sana,pili wachezaji hawana fighting spirit na wengi pale ni wakuachwa bila hivyo next season itakuwa shida kubwa
 
Gendarmerie yeye anauzuri gani tuanzie hapo Mana hata akishinda haendi popote hata akidraw bado haendi popote alafu isitoshe yeye mbona kwenye mechi 5 ana point tano tu kwenye kundi hili bado naona yeye ndio kibonde na akafatiwa na Simba kundi lote hili hakuna team ya Mana wote watakaopita kwenda hatua inaofata hawatavuka hatua hio Mana kwenye makundi mengine Kuna team za Mana huko
Hakuna sehemu niliposema kuwa Gendarmerie ni wazuri kuliko timu fulani bali nimesema nao watakuja kutafuta point tatu ili kufikisha point 8 kisha ndio baafa ya dakika 90 wajue kilichojili kwa Berkane. Kama Berkane atafungwa nafasi ya kupita ni ya kwao Gendarmerie hivyo hawawezi kucheza mechi kwa kuridhika wakati hata wao wanaona wana possibility ya kufuzu kama atamfunga simba na Berkane kupoteza
 
Hakuna namna hata mtuseme vibaya gendermarine lazima tutamfunga tu
 
simba wakiwa na mpira hawajui pakuupeleka na wakipoteza mpira hawajui wafanye nini
 
Kundi hili la 'D' michuano ya soka barani Afrika ni gumu sana.
 
Mpira huwa na matokeo ya KIKATILI sana. Nadhani wadau wa soka tujiandae kisaikolojia, maisha sio marahisi kama jinsi tunavyowaza.

Tujiulize Simba ilifika je hapa kwenye michuano hii. Tulifanyiwa Surprise moja ya ajabu pale LUPASO, hakuna aliyeamini.

Hiyo team yenyewe tunajua ilipo now? Galaxy inashika mkia kwenye kundi lake na ni lazima itoke. Hii ni ishara kwamba simba inakuzwa na kelele na ma promotion yasiyo na tija, reality on the ground ni tofauti kabisa.

Asec inakikosi kizuri, mchezaji mwenye umri mkubwa pale ni miaka 22 , wapo energetic , young and smart, kile kikosi next FY kitakuwa ni moto.

Simba Ina changamoto nyingi, kuanzia kocha , kocha pablo hana psychological tags za kufundisha Africa, hilo ni tatizo moja wapo, Tatizo lingine ni Simba kuamini katika ujinga, huwezi kuwa timu ya ushindani na striker kama Kagere , au Mugalu , ni kupoteza muda.

Hakuna mpira wa inshallah inshallah, mpira ni Investment. Uki invest Vyema , likelihood ya kufika mbali ni kubwa.

Naishauri Simba ifanye usajili wenye tija na kuacha fantasy za mitandao au ushindani wa kugombea wachezaji na Yanga , ni ujinga.

Nendeni west Africa huko Burkinafaso, Ghana, Ivory’s Cost , Cameroon , kuna vitoto vipo safi na wana miili mizuri na wana Nature za kimpira.... acheni kukomaa na watu wazeee , mnatoa expectation kubwa kwa mashabiki halafu uhalisia ni kubahatisha.

Hata ile timu ya Morocco , hamkuifunga, ukweli ni kwamba Mlifungwa But fitna ilitawala.

Kufungwa na Asec Goli 3 na Penati 2 , huo ndio uwezo wenu, vile vitoto vingi ni under 20 vina spirit na ndoto za ku Excel soka lao la kulipwa huko ulaya.

Yaani hata Simba ikifika Robo fainali, asilimia 95% , hapo ndio itakuwa ni mwisho wao. Hakuna kikosi cha kucheza nusu fainali.

Pamoja na yote , Simba ana asilimia 55 ya kwenda mbele. Asec ana asilimia 50 ya kwenda mbele , BERKANE Ana asilimia 55 ya kwenda mbele, GENDERMARIE ana asilimia 15 ya kwenda mbele , pamoja na uchache wake, ni wazi wanaweza kumbania Mnyama asipite, yaani any suluhu, Simba Out.
Cha kufurahisha kwenye uchambuzi wako..unadhihirisha unaichambua Timu Kubwa!
Unapozungumzia kuingia Robo Fainali ...na kuishia haapo,kumbuka unazungumzzia mashindano ya Afrika! na sio Kombe la Mapinduzi au kucheza na Somalia,Yemen au Afghanistan!
Kwa kiwango chetu Cha Soka hayo ni mafanikio ya kuridhisha!
Ingawaje ssijajua kuwa wewe ni Utipolo au la ,ila napenda nikukumbushe kuwa ,mwaka JAna na Juzi Simba,ilifanikisha kupeleka Timu 4 katika mashindano haya!
Cha kusikitikisha licha ya kubeba Taifa namna hiyo...wote waliobebwa walitia aibu...isipokuwa Namungo tu!
Na kina Timu Kongwe yenye kelele nyingi ilipigwa mbele na nyuma,Kwa mitindo anuai!
Na waliofanikisha haya ni hao kina Mugalu na Kagere....!
Hebu tuwe na Soni na haya kidogo!
Ushabaki sawa...lakini mengine ni ujinga na upumbavu!
 
Kama ana akili , amekuelewa. Lakini nijuavyo mimi ni ngumu kwa utopolo kukuelewa .
 
Mpira huwa na matokeo ya KIKATILI sana. Nadhani wadau wa soka tujiandae kisaikolojia, maisha sio marahisi kama jinsi tunavyowaza.

Tujiulize Simba ilifika je hapa kwenye michuano hii. Tulifanyiwa Surprise moja ya ajabu pale LUPASO, hakuna aliyeamini.

Hiyo team yenyewe tunajua ilipo now? Galaxy inashika mkia kwenye kundi lake na ni lazima itoke. Hii ni ishara kwamba simba inakuzwa na kelele na ma promotion yasiyo na tija, reality on the ground ni tofauti kabisa.

Asec inakikosi kizuri, mchezaji mwenye umri mkubwa pale ni miaka 22 , wapo energetic , young and smart, kile kikosi next FY kitakuwa ni moto.

Simba Ina changamoto nyingi, kuanzia kocha , kocha pablo hana psychological tags za kufundisha Africa, hilo ni tatizo moja wapo, Tatizo lingine ni Simba kuamini katika ujinga, huwezi kuwa timu ya ushindani na striker kama Kagere , au Mugalu , ni kupoteza muda.

Hakuna mpira wa inshallah inshallah, mpira ni Investment. Uki invest Vyema , likelihood ya kufika mbali ni kubwa.

Naishauri Simba ifanye usajili wenye tija na kuacha fantasy za mitandao au ushindani wa kugombea wachezaji na Yanga , ni ujinga.

Nendeni west Africa huko Burkinafaso, Ghana, Ivory’s Cost , Cameroon , kuna vitoto vipo safi na wana miili mizuri na wana Nature za kimpira.... acheni kukomaa na watu wazeee , mnatoa expectation kubwa kwa mashabiki halafu uhalisia ni kubahatisha.

Hata ile timu ya Morocco , hamkuifunga, ukweli ni kwamba Mlifungwa But fitna ilitawala.

Kufungwa na Asec Goli 3 na Penati 2 , huo ndio uwezo wenu, vile vitoto vingi ni under 20 vina spirit na ndoto za ku Excel soka lao la kulipwa huko ulaya.

Yaani hata Simba ikifika Robo fainali, asilimia 95% , hapo ndio itakuwa ni mwisho wao. Hakuna kikosi cha kucheza nusu fainali.

Pamoja na yote , Simba ana asilimia 55 ya kwenda mbele. Asec ana asilimia 50 ya kwenda mbele , BERKANE Ana asilimia 55 ya kwenda mbele, GENDERMARIE ana asilimia 15 ya kwenda mbele , pamoja na uchache wake, ni wazi wanaweza kumbania Mnyama asipite, yaani any suluhu, Simba Out.
Asec mchezaji mkubwa ana 22? Kipa ana 36
 
Wala sio kujisahau.viwanja vya ugenini vigumu.
Uliwaona kaiza chiefs walivyokuja kucheza na Simba wakafungwa goli 3-0?
Ukiwa nyumbani kuna mambo mengi.
Usije ukashangaa Simba walipigwa misumali huko.
Mimi Wala swalaumu simba
sio suala la kuuliza hilo south africa team inayoogopeka kwa uchwawi wenyewe wanaita MUTHI ni kaizer chiefs siku ile simba walikuw ahivyo walivyopigwa 3-0 hapa taifa ikabaki kidogo twende nao penalty kwenye pages zao za social media walikuwa wanadai simbaimetumia MUTHI na hata leo kwenye page za simba wamejaa ikishinda nyumbani wanadai ni uchawi ikipigwa ugenini wanasema nyie hamna kitu wanaichukia sana simba hadi leo sababu wanaidharau league ya tanzania hawakutarajia kwamba ilibaki kidogo watolewe dsm
 
Ukiambiwa uthibitishe uwepo wa uchawi, unaweza kutoa ithibati bila shaka ?
 
Simba inasumbuliwa na wachezaji kutokujituma uwanjani. Ni wavivu na wazembe. Cha ajabu kocha yupo uwanjani hapo hapo na hajui anachofanya. Vilevile kocha anachelewa kufanya sub. Kibu D anaharibu mpira kutoka dkk ya kwanza na kufanyiwa sub dkk ya 70.
100%uko sahihi kuhusu kutojituma yaani mpaka unashangaa!
 
Ila bongo bwana team isifungwe yaani kila siku team ishinde hakuna team ya hvyo duniani hata kama ni kweli kuna mapungufu ila sio kwa hoja hizo juzi real Madrid kafa 4 mtungi hakuna aliyetegemea na ilikuwa wafe nane wale ingekuwa bongo kocha angefukuzwa wachezaji wangetukanwa yaani kiufupi mpira sisi bado yaani nje ya uwanja na ndani ya uwanja.
Kufungwa ni matokeo lakini ufungwe uridhike sio unaona kabisa wachezaji kama wapo mazoezini,hawawajibiki mpk unashangaa.
 
Sijui ni kujisahau sijui ni nini mbona kuna wakati wanakuwa vizuri
Mpira wa kiafrika timu ikicheza ugenini inakuwa mbovuuuu ikiwa uwanja wa nyumbani unaweza kuhisi ni timu tofauti na uliyoiona ikiwa ugenini sijui kwanini.
 
Huu ni uharo uliojiikita kwenye chuki dhidi ya Simba.

Back
Top Bottom