CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Sio yosso hao wamechelewa tu kuwika katika soka hahahaaah!!
Tumewakosa jingine lol!
Kwanza mie ni shabiki mnazi wa Young African Sports Club.
Pili nauliza, je mtanange huo utarushwa 'live' luningani? Channel ipi imechukua haki za mpambano huo kuonyeshwa 'live' ?
Acha umbea! Azam tuna kwenda na wakati.
Goal la pili linanukia hapa
Masuke hivi Babu yenu alifikiria nini kumkabidhi dimba la kati nyuma huyo Lucian Bokilo sijui Lucian nani....unaona Yanga wanavyotakata pale kati
Huyu dogo mrisho ngassa anakaza utadhani aendi Yanga kha!