Simba SC v Young Africans SC

Simba SC v Young Africans SC

Mkuu Yosso wamo: Chanongo, Seseme na William Lucian.
Chanongo he's not Yosso bwana sema tu kachomoza ghafla kutokea team za mtaani akapita Simba B na hatimaye team ya wakubwa, kwa umri anaweza kulingana na Kiiza
 
Mlioko uwanjani hebu tuambieni hali ya mchezo ikoje, ni kwamba Mnyama kazidiwa sana au ni 50-50.
 
Chanongo he's not Yosso bwana sema tu kachomoza ghafla kutokea team za mtaani akapita Simba B na hatimaye team ya wakubwa, kwa umri anaweza kulingana na Kiiza

Mie sijui umri wake, lakini kwa sababu kaanzia Simba B ndo maana tunamuona Yosso.
 
Mlioko uwanjani hebu tuambieni hali ya mchezo ikoje, ni kwamba Mnyama kazidiwa sana au ni 50-50.

Mpaka sasa ni simba ndio ana takata kwa pas za uhakika, ila hawa yebo walicho fanya ni kutangulia stand wakati nauli anayo simba.
 
Back
Top Bottom