Anselm
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 1,710
- 291
Kiemba,Ngassa,Chollo,MudeKaseja naye Yosso....???
Wanakariri....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiemba,Ngassa,Chollo,MudeKaseja naye Yosso....???
Usitoke humu mkuu halafu baadaye tutaona mimi na wewe nani zaidi.
Mume tangulia na baiki ya barafu juani.
Chanongo he's not Yosso bwana sema tu kachomoza ghafla kutokea team za mtaani akapita Simba B na hatimaye team ya wakubwa, kwa umri anaweza kulingana na KiizaMkuu Yosso wamo: Chanongo, Seseme na William Lucian.
Tukutane pale Yanga kapakatwa pub
Utatufukuza mpaka utachoka na hautatukamata.
Mkuu tano haziwezi kufika.
Chanongo he's not Yosso bwana sema tu kachomoza ghafla kutokea team za mtaani akapita Simba B na hatimaye team ya wakubwa, kwa umri anaweza kulingana na Kiiza
bado mapemaPole mkuu wanazi wa Simba kitu kinagonga kyupi kinarudi
Sio yosso hao wamechelewa tu kuwika katika soka hahahaaah!!Mkuu Yosso wamo: Chanongo, Seseme na William Lucian.
Yanga 60-40 SimbaMlioko uwanjani hebu tuambieni hali ya mchezo ikoje, ni kwamba Mnyama kazidiwa sana au ni 50-50.
Mlioko uwanjani hebu tuambieni hali ya mchezo ikoje, ni kwamba Mnyama kazidiwa sana au ni 50-50.