Simba SC v Young Africans SC

Simba SC v Young Africans SC

sina hakika kama unoneshwa ila unatangazwa tbc taifa
Kwanza mie ni shabiki mnazi wa Young African Sports Club.

Pili nauliza, je mtanange huo utarushwa 'live' luningani? Channel ipi imechukua haki za mpambano huo kuonyeshwa 'live' ?
 
Masuke hivi Babu yenu alifikiria nini kumkabidhi dimba la kati nyuma huyo Lucian Bokilo sijui Lucian nani....unaona Yanga wanavyotakata pale kati
 
Last edited by a moderator:
Simba ni sawa na embe dodo lilianguka kutoka mtini toka juzi na sasa Yanga wanaokota!
 
Masuke hivi Babu yenu alifikiria nini kumkabidhi dimba la kati nyuma huyo Lucian Bokilo sijui Lucian nani....unaona Yanga wanavyotakata pale kati

Kitakachoiponza Simba leo ni kujaza viungo, tuna viungo wanne na mawinga wawili, hakuna typical forward.
 
Back
Top Bottom