Simba SC v Young Africans SC

msuva anakimbia na mpira bila malengo. yeye anacheza na mashabiki. akiona anashangiliwa basi anaongeza speed hadi anatoka nje kabisa. bora wambadilishe.
 
Simba wetu wa mwaka huu atakuwa ametolewa Dar es Salaam Zoo, sio yule wa Serengeti tuliyemzoea; Rage katubadilishia Simba wetu aise.
 
msuva anakimbia na mpira bila malengo. yeye anacheza na mashabiki. akiona anashangiliwa basi anaongeza speed hadi anatoka nje kabisa. bora wambadilishe.

dubu! dalili ya kuchanganyikiwa hiyo!
 
acheni kujifariji hako ka goli tunakachomoa na kuongeza subiri uone oooohhhhooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…