Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana mzuri, kwenye ukweli lazima tuseme...ingawaje hawezi kumfikia MsuvaMkuu Chanongo anawakosesha raha mpaka unataka aumizwe?
ha ha ha ha,mbavu zangu!!libolo leo limekuwa tusi!!!Mods mko wapi watu wanaongea matusi humu JF
kapombe anamuokoa mnyama hapa!
Kaseja naye Yosso....???
Mbona huku mvua imenyesha jamani au siku hizi mvua sio dili
Mapumnziko sasa
msuva anakimbia na mpira bila malengo. yeye anacheza na mashabiki. akiona anashangiliwa basi anaongeza speed hadi anatoka nje kabisa. bora wambadilishe.
Naona anataka awaachie zawadiAnakuja jangwani huyo
Half time.
Simba0-1Yanga.
Kavumbagu dk4.