Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The BIG LIBOLO!!nimependa sana neno hili.Yanga is the big libolo
Washenzi sana Yanga tunawadai goli 5 za mwaka jana, *@#^`$¿ zenu!
Kwani uliahidi 'kubanduliwa'?Sijui nita lala wapi leo. Maana nyumba nzima yanga tupu.
Hawa Uhuru wanaweka wimbo wa kumsifia Gulamali.
Mkuu mbona Mirambo bora?
Timu booooooovuuuu
Washenzi sana Yanga tunawadai goli 5 za mwaka jana, *@#^`$¿ zenu!
wadhamini hao Vodacom.....wana rangi nyekundu
Mkuu hamna timu ya kufunga magoli yote hayo, wewe angalia magoli yote mliyofunga yametokana na dead balls. inaonyesha kwamba timu haikuwa na ujanja wa kupangua mabeki na kuweka kitu nyavuni.
Utajiju, ushindi ni ushindi tu hata ushinde mia