Simba SC v Young Africans SC

Simba SC v Young Africans SC

Washenzi sana Yanga tunawadai goli 5 za mwaka jana, *@#^`$¿ zenu!
 
Namuona Juma Nature anajumuika na wachezaji wa Yanga kushangilia,kwa mbali namuona Chuji akiwa amembeba mtoto wake kipenzi.
 
Ha,ha,ha teh,teh,teh
Simba jipeni moyo bado dk 45 kipindi cha 3 mtarudisha.wap Remmy
 
Last edited by a moderator:
Wale walioko katika huu mkoa (......) ambao ingekuwa amri yangu nisingekubali kufanyia kazi huku tukutane pale "Orion Hotel" kwenye Live Band
 
Jamani final score ni ngapi? Nimefungua pages nyingi sioni ..
 
Mkuu hamna timu ya kufunga magoli yote hayo, wewe angalia magoli yote mliyofunga yametokana na dead balls. inaonyesha kwamba timu haikuwa na ujanja wa kupangua mabeki na kuweka kitu nyavuni.

Yeah! Hata Yanga tulifungwa 5 kati yake 3 ni matuta, hapo unasemaje?
 
Back
Top Bottom