ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,984
- 360
UK mkuu!
Ila tayari imeshakatika.
du!!!!! Kumbe mvua ikinysha hta huko,huku simba anaweza kushinda!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UK mkuu!
Ila tayari imeshakatika.
Jamani watu wa Yanga msije kunitoa macho, mimi nimeikuta tu sehemu nikaona niilete huku tuone wote.
![]()
Mkuu tukiona offside nyingi tunapiga nje ya 18, tuone kama watakataa goli.kaka mauke wale watu wabaya sana wao wamebadili refa unategemea nini si kila mara offside..
Nitakuwepo ground pia mpwa...nilikosa tiketi za VIP, nitakuwepo mzunguko wa Orange!!!
Kumbe tunaweza ongea biashara, hayo mashimo bado yanapatikana kwa urahisi huko Geita?
Mbona unaongea lugha ngumu, kuchenjua ndo kufanyaje?Mengi lakini siku hizi jamaa wajanja sana wanataka 50/50 sasa kazi ipo,siku hizi tumebadili mwelekeo kidogo tunachenjua tu hiyo ndio babu kubwa kwa sasa mkuu.
Mkuu heshma yako! Najua leo huwezi apa kwakuogopa history.Kaka mandieta kauli kama hizi huwa sio nzuri sana kuna jamaa alikula BAN humu siku yanga anaua mtu 3 hivi hivi,sasa na wewe angalia ka sababu ukishindwa kujing'ata utang'atwa,by the way Yanga ndiye mshindi leo ingawa sitaki kuapia chochote Mkuu.
Mbona unaongea lugha ngumu, kuchenjua ndo kufanyaje?
Mkuu heshma yako! Najua leo huwezi apa kwakuogopa history.
Jamaa yangu Masuke hizi lugha zinapatikana sana kwenye masuala ya Madini,ukimuuliza Naibu Waziri wa Nishati na Madini Steven Masele anajua sana,kwa faida yako tu kwa sababu unataka kujua hii ni kuvundika ule mchanga wa dhahabu,acha mawe,mchanga ambao umetokana na mawe yaliyotwangwa na kusagwa kisha kuoshwa na kutolewa kwa dhahabu,sasa unachukuwa ule mchanga unauvundika kwa kutumia sumu ya Cynide,halafu unakwenda kuchoma unakomba dhahabu yote na hii ni njia nzuri sana kwa sasa imetajirisha wengine sana na hasa katika ukanda wa ziwa victoria,kama unamkumbuka yule mzungu aliyekamatwa sehemu moja Nyarugusu kwa tuhuma za kutorosha dhahabu,mimi aliniajiri na nikajifunzia hapo nikanzisha ya kwangu jamaa yangu ni kweli yule mzungu ameibia sana serikali zamanai tulikuwa tunakimbilia mawe lakini kumbe ile kitu ni hatari sana.
Kama vipi tukutane uwanjani tuongee kwa kirefu zaidi kama unaweza naweza kukuajiri kwa sababu ile kazi ni ngumu kwa hiyo na mshahara ni mkubwa.mwezi ujao nafungua mgodi mwingine wa uchenjuaji kule maeneo ya Misungwi,hii biashara kuna vigogo wengi sana wa serikali hivi sasa wanaifanya,wapo wengi mpaka mawaziri,waliokuwa mawaziri,watoto wa vigogo!.
du!!! Hii match leo inatoa na watu,hya mkuu,tuombe leo tukabidhiwe kombe tukiwa tumempga mnyama hata 6!!
Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi, bahati mbaya leo sitakuwepo uwanjani, itabidi tuwasiliane zaidi kama nitaona inafaa unipe hiyo ajira.Jamaa yangu Masuke hizi lugha zinapatikana sana kwenye masuala ya Madini,ukimuuliza Naibu Waziri wa Nishati na Madini Steven Masele anajua sana,kwa faida yako tu kwa sababu unataka kujua hii ni kuvundika ule mchanga wa dhahabu,acha mawe,mchanga ambao umetokana na mawe yaliyotwangwa na kusagwa kisha kuoshwa na kutolewa kwa dhahabu,sasa unachukuwa ule mchanga unauvundika kwa kutumia sumu ya Cynide,halafu unakwenda kuchoma unakomba dhahabu yote na hii ni njia nzuri sana kwa sasa imetajirisha wengine sana na hasa katika ukanda wa ziwa victoria,kama unamkumbuka yule mzungu aliyekamatwa sehemu moja Nyarugusu kwa tuhuma za kutorosha dhahabu,mimi aliniajiri na nikajifunzia hapo nikanzisha ya kwangu jamaa yangu ni kweli yule mzungu ameibia sana serikali zamanai tulikuwa tunakimbilia mawe lakini kumbe ile kitu ni hatari sana.
Kama vipi tukutane uwanjani tuongee kwa kirefu zaidi kama unaweza naweza kukuajiri kwa sababu ile kazi ni ngumu kwa hiyo na mshahara ni mkubwa.mwezi ujao nafungua mgodi mwingine wa uchenjuaji kule maeneo ya Misungwi,hii biashara kuna vigogo wengi sana wa serikali hivi sasa wanaifanya,wapo wengi mpaka mawaziri,waliokuwa mawaziri,watoto wa vigogo!.