CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Yani tukifungwa leo najing'ata makalio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mods mko wapi watu wanaongea matusi humu JF
Unaenda kumfanyia nani fujo??Kama niingie uwanjani nikafanye fujooooh!
simba wanashinda leo
Tukirudi mwapigwa tena cha kulalia sawa dhimbhaa!
Yani unamsifia kudaka kimpirakimepigwa kama shuti la mlevi
Simba wetu wa mwaka huu atakuwa ametolewa Dar es Salaam Zoo, sio yule wa Serengeti tuliyemzoea; Rage katubadilishia Simba wetu aise.
matokeo yatabaki hivi hivi..
Yani tukifungwa leo najing'ata makalio.
Tumeshawasoma tukija second half tunawapiga nyingine kama4 hivi.matokeo yatabaki hivi hivi..
Mbona unaongea kilegevu, dhimba! Unatutia mashaka!
ha ha ha ha,mbavu zangu!!libolo leo limekuwa tusi!!!
Unaenda kumfanyia nani fujo??
Tukirudi mwapigwa tena cha kulalia sawa dhimbhaa!
Si unajua ng'ombe jike akiwa na joto, utamuona anaparamia madume, mara ajifanye mgomvi, akipata Lioversize tu anatulia!