Simba SC v Young Africans SC

Simba SC v Young Africans SC

Mods mko wapi watu wanaongea matusi humu JF

Nyie wepesi sana kutukana halafu mkiambiwa ukweli mnakimbilia kwa Mods,Mods mimi nawaomba hawa jamaa wamezoea sana kutukana waacheni tu kwa sababu wanayoambiwa yako wazi,tatizo hawapendi ukweli,kwani Kuna ubishi kwamba Simba hakufungwa na Libolo?!,ni Kweli alifungwa na yawezekana sasa hivi anali/anawakumbuka baada ya hako kamoja kwa sababu hao wao waliwafanyia hivyo hivyo.
 
Kipindi cha kwanza cha yanga cha pili cha mnyama
 
Yani unamsifia kudaka kimpirakimepigwa kama shuti la mlevi

Mkuu habari ja kupotea, karibu jukwaa kuu hapa tunaaangalia Yanga wanavyoinyanyasa simba.

Btw, Sasa kama huyo profesheno ndio anapiga kama mlevi, vipi sasa hao wadengereko wenzako?
 
Inabidi kocha amutoe Mwinyi Kazimoto aingie Sunzu, halafu baadaye amutoe Wiliam Lucian aingie Christopher Edward na baadaye amalizie na Ngasa aingie Singano.
 
Simba line up: Juma Kaseja, Nassor Masoud 'Chollo', Haruna Shamte, Shomari Kapombe, Mussa Mudde, William Lucian, Mwinyi Kazimoto, Abdallah Seseme, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba na Haruna Chanongo. Sub: Abel Dhaira, Miraji Adam, Ramadhan Singano 'Messi', Felix Sunzu, Christopher Edward, Jonas Mkude na Hassan Mkude

Hivi wakuu kuna Yosso hapo?......

Naona neno Yosso lilishapoteza maana siku hizi ....Eti Kaseja, Cholo, Ngassa, Kiemba, Mudde, Kazimoto na Kapombe nao wanaitwa Yosso
 
Ngoja nitafute ile habari ya Simba humiliate Yanga angalau nijikumbushe.
 
Back
Top Bottom