Simba SC v Young Africans SC

Simba SC v Young Africans SC

Game kama hii mtu kama Tegete anaweza kujikumbushia kumtungua Kaseja,kama vp aingie tu
 
Haya tunakwenda kipindi cha pili hapa lazima goli mbili nimeziona za Yanga hadi mwisho Yanga 3 simba 0,ambaye hataki aache.
 
Huko nje kuko full bado na mashabiki wamezuiwa kuingia.

Kipindi cha pili ndio kinaanza sasa.
Here we go.................!
 
Back
Top Bottom