samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
Kwani hujaona nani kashamwagiwa?
yaani hapa raha tupu hakianani tukirudi 2 zingine analia mtu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hujaona nani kashamwagiwa?
Ngoja nikamuitie Gang Chomba ndio wataelewana vizuri.
Ngoja nitafute ile habari ya Simba humiliate Yanga angalau nijikumbushe.
wana simba mkiopo uwanjani shangilieni non stop!
Ahsante Mkuu, kuna watu
wanafiki sana humu ndani halafu wanajiita watakatifu, narudia tena YANGA
KAMA LIBOLO!
Kwani hujaona nani kashamwagiwa?
yaani hapa raha tupu hakianani tukirudi 2 zingine analia mtu!
Hao watu wa kudondosha vitu vyenye ncha kali watakuacha....??? Hahahahaaah!!Nataka nimnyanganye refa kadi nyukundu ilimpira unoge
muziki wa leo ni zaidi ya ule wa Libolo........
muziki wa leo ni zaidi ya ule wa Libolo........
Hao watu wa kudondosha vitu vyenye ncha kali watakuacha....??? Hahahahaaah!!