Simba SC v Young Africans SC

Simba SC v Young Africans SC

Rage katuharibia timu! Yaani mdebwedo mwanzo mwisho! Aaaargh! Yanga mwaka wenu huuuu!

Unategemea uwe na kiongozi mwanachama wa CCM halafu asiwasikilize akina Riziwani na Manji, Wakimwambia haribu timu ni lazima awasikilize.
 
Maskini mashabiki wanatoka inje ya uwanja, sijui kukata tamaa au wanaishi kimanzichana.
 
Simba mmekwisha.
Mrudi sasa mtaa wa msimbazi mkamuulize Rage fedha ya usajili wa Okwi.
 
Kwikwiwkwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............................Viroba vidumuuuuuuuuuuuu..................acha tujinywee siye aaagh
 
Back
Top Bottom